Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Ccm wanaliwa pesa zO tu.
Vijana wamepata fursa, gari unaekewa full tank, daladala full tank na hela ya bosi, bodaboda na wao ivo ivo, utakosa watu kweli wa kukusindikiza? Wanavaa flana za CCM hata kama huna lesnei husimamishwi unaachiwa. Sasa fursa ya ulaji imetokea watu wanakwenda tu. Siku ya sanduku CCM inaona suprise tu 😀
 
Wewe Ni Muongo Namba 1 hebu thibitisha unachokisema
 
Wewe ndio una akili nukta.... Tunajua mbinu zenu za kuvusha watu kwa maji 😀 😀 😀 Bila shaka na wewe ni miongoni mlovushwa kuja kuongeza idadi!
Ha ha ha waliovushwa kwenye maji ni wana wa israel huko misiri wakiwa na Mussa ukweli ni kwamba wazanzibar walienda uwanjani kwa mahaba makubwa kwa mgombea wao.
 
Hakika CCM inang'ara Zanzibar na inasonga mbele kwa ushindi wa kishindo.
 
Unajitia upofu kwenye vitu vinavyoonekana waziwazi. Hayo mapokezi unayoyasema tumeyaona na hayafikii hata robo ya mapokezi ya Mwinyi. Ukweli utabaki palepale Mwinyi anakubalika na ndiye raisi ajaye.
 
Ulichokisema ni dhahiri na kweli kwamba Bwana Maalim Amefilisika kisiasa na amepoteza wafuasi wengi sana ambao pia ni wapiga kura wake..
Kwasababu hiyo Dkt Mwinyi anaenda kushinda uchaguzi huu kiurahisi zaidi.
#MagufuliNiMafanikio
#MitanoTena
 
Lakini pia kumbuka kuwa CUF baada ya kugawanyika sio wote walienda ACT WAZALENDO Bali wengine wengi tu walibaki CUF na CUF bado ina Nguvu tu tena za kutosha. So si kweli kabisa Kama Maalimu ana Nguvu bado Pemba
 
Ushindi ni mkubwa kwa CCM. Mapinduzi daima
 
Acha kutudanganya wapemba sio Wanafiki Kama hawakupendi hawawezi tokea kwenye Mkutano wako. Na Kama walitokea kwenye kikao cha Mwinyi Meaning that Mwinyi anapendwa na Wazanzibari
 
Hii mwaka huu haufichiki
Uchaguzi huu kura asilimia zaidi ya 90 ni kwa ccm
 
Yajayo ni neema Tu. Tunafunga hesabu pale Zanzibar.
 
Hii ni taarifa. Kwa wanaofikiri watanzania hawaelewi kinachofanywa na baadhi ya viongozi wa upinzani ili kuchafua amani ya nchi
 
Attachments

  • VID-20200917-WA0092.m4v
    13.4 MB
  • VID-20200917-WA0096.m4v
    12.5 MB
Ulichokisema ni dhahiri na kweli kwamba Bwana Maalim Amefilisika kisiasa na amepoteza wafuasi wengi sana ambao pia ni wapiga kura wake..
Kwasababu hiyo Dkt Mwinyi anaenda kushinda uchaguzi huu kiurahisi zaidi.
#MagufuliNiMafanikio
#MitanoTena

Daah. Hebu fanyeni rejea vizuri Walau ulizeni timu ya Kampeni ya CCM ya 2015. Akina Balozi Seif hawatasahau yaliyowakuta Pemba Mwaka 2015. Hukumbuki walivyojaza mikutano na watu kujiunga CCM na kupewa kadi mpya. CCM iligawa maboti ya uvuvi na kutoa Pesa nyingi za vikundi vya Maendeleo.

Leo mnakuja na Propaganda za zamani za wingi wa watu waliosombwa .

Hivi hivi nduivyo mtapifgwa kama 2015.

Zaidi ya kura 25,000 baada ya uchakachuaji kadhaa
 
Hizo ni propaganda lakini ushindi wa Mwinyi Pemba ni Mweupe pe
 
Ha ha ha waliovushwa kwenye maji ni wana wa israel huko misiri wakiwa na Mussa ukweli ni kwamba wazanzibar walienda uwanjani kwa mahaba makubwa kwa mgombea wao.
Basi na nyie mmevushwa na chama chenu kuja kuongeza idadi, kulazimisha wafanyakazi wa umma kwenda mkutanoni unaita mahaba? Kweli Amani Karume hakukosea kuwaita vichwa vya samaki! 😀
 
Lakini pia kumbuka kuwa CUF baada ya kugawanyika sio wote walienda ACT WAZALENDO Bali wengine wengi tu walibaki CUF na CUF bado ina Nguvu tu tena za kutosha. So si kweli kabisa Kama Maalimu ana Nguvu bado Pemba
Wewe bado hujaelewa tu? unafikiri watu Pemba wanafuata Chama au wanamfuata Maalim? Huko Cuf kabakia nani? wameachwa na chama chao vibaraka wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…