Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Kwakweli upo sahihi, inshort Babu Seif akalee wajukuu tu ss, He is outdated
 
Mabeberu hao hao ndio wanafundisha polisi wetu..wanatupatia bure chanjo za polio..surua.tetenasi.arv..ndui.nk
Wewe unakariri mfano wa kasuku..
Bora ungenyamza usitiri UPUMBAVU
wako
Hahaha so unadhani Kama wanatoa support kwa polisi ndio tuuze nchi yetu kwa Mabeberu???? Kwanza hao wote tunawalipa sio kwamba et wanakuja kufundisha bure and by the way kwa muda huu kwenye vyuo vyote hatuwategemei mabeberu tushaanza kujitegemea kwa Kila kitu
 
Endelea kujidanganya tu ivo ivo,
Hutaamini
 
Mwinyi ni Mzalendo kweli kweli ndio maana Hadi watu wafuasi wa Mabeberu hawamuwezi
 
TandaleOne,

..Unguja ni ngome ya Hussein Mwinyi.

..Pemba ni ngome ya Maalim Seif.

..Je, Hussein Mwinyi ana wafuasi wa kutosha ndani ya ngome ya Maalim kuweza ku-tip the balance in his favour?

..Au, Maalim Seif ana wafuasi wa kutosha Ungoja ambako ni ngombe ya Hussein ili aweze kupata ushindi?

..Naamini mshindi ktk mpambano huu atakuwa ni mgombea au chama kitakachoweza kulinda ngome yake, halafu kikaweza kupata kura kiduchu za ziada toka ktk ngome ya upande wa pili.
 
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.

Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
 
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.

Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
Wanapita bila kupingwa eti wana kubalika
 
Tatizo la huko CCM ndo haitakiwi kwahyo Seif atashinda mtake msitake
 
Munajifurahisha. Baada ya pingamizi zenu FEKI halafu kutishia askari 3200 kisha kuwapa masheha uniform za CCM na kuhakikisha kila mmoja kavaaa na kaenda mkutanoni. Tena wanafunzi wote wa sekondari lazima waende mkutanoni pamoja na wafanya kazi wa serikali. Hilo bado, jee wale walioletwa kwa meli kutoka unguja na daresaalaaam. Kwa hiyo ile mipango yenu ya kulazimisha haitofanikiwa. Kama walivo mkataa Ali Hassani Mwinyi, wapemba hawawezi kumkubali mtoto wake. Kosa alilowafanyia wapemba hajadiriki hata kuomba samahani.
 
Ahaa
Ahaaaa🤣🤣🤣🤣 relax DUDE
 
Bw Bwana waliwafata wasanii wakina kiba nawengine kupata karidhiki waliko dhulumiwa miaka5 ndiomuda wake huu
 
Basi na nyie mmevushwa na chama chenu kuja kuongeza idadi, kulazimisha wafanyakazi wa umma kwenda mkutanoni unaita mahaba? Kweli Amani Karume hakukosea kuwaita vichwa vya samaki! 😀

nani kalazimishwa wewe Mbn kama umepanic
 
Baada ya uliyoyaandika naomba nikuulize, unamjua Rais wasasa..? anatokea wapi na ni wa chama gani..?
 
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.

Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
 
Mwinyi ni Raisi anaesubilia kuapishwa huyo babu yenu kama huko hamna wajukuu mleteni alee wanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…