Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Hao ni vijana wamesafirishwa kutoka Unguja na Tanganyika kwenda kufuta aibu. Pemba hata ukaeka jiwe na mgombea wa CCM kwa hakika tutalipigia kura jiwe hatuwezi kabisa kupigia kura CCM wametuuwa hao jamaa hatutosahau maisha yetu.
Husein mwinyi anasubiri huruma ya usalama wa taifa na tume ya uchaguzi ila mara hii hatutaki ukhanithi ataliwa mtu kichwa. Husein asubiri nafasi ya makamo wa kwanza wa Raisi hawezi arudi kwao Mkuranga.
 
Mshindi hapa anajulikana ni Mgombea wa Chama ambacho hakijatikiswa na jambo lolote, maana vingine vyote vimeyumba
 
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.

Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
Hatuogopi ushindani wewe ndio maana tupo tuna Nadi sera zetu kwa wapiga kura ili watuelewe sera zetu
 
Sijui kama una fahamu kama kuna mtu alikimbiwa msikitini unguja?sijui kama unajua kuna mtu alisababisha watu wapigane baada ya kuulizwa shule aliyosoma Kule zanzibar
 
Naamini sanduku la kura ndilo litakalotuthibitishi kuwa Mwinyi anakubalika
 
Mwone na huyu anaota ndoto ya mchana. Hivi unadiriki kusema upupu Kama huuu kabisa kwenye umma umesahau CUF Chama chake na huyo mzee kimemeguka na makundi mawili ACT Wazalendo na CUF so kura alizozipata 2015 zimegawanyika
 
Hao ni wazanzibari kabisa
 
Ok. Zamu hii wazanzibari na watanganyika wamejiapiza kulinda kura zao na kula sagani moja na wezi wa CCM
Mlinzi wa kura ni tume ya taifa ya uchaguzi nakushangaa unavyonambia kuwa wamejiapiza kulinda kura hao ni tume???? Au unazungumza ili na wewe uonekane kuwa unajibu comments
 
Hii ndio Pemba ninayeijua mimi
Hakika Wapemba wameelimika kutoka katika Ujinga na kuanza kujitambua na naamini mwaka huu Neema inaenda kuwazunguka maana Dkt Mwinyi atawaletea maendeleo mpka wenyewewashangae
 
Mlinzi wa kura ni tume ya taifa ya uchaguzi nakushangaa unavyonambia kuwa wamejiapiza kulinda kura hao ni tume???? Au unazungumza ili na wewe uonekane kuwa unajibu comments
Tume ingekua ndo inalinda kura magufuli angekua amelala chato anasubiri tar 28
 
Hakika kwa umati uliojitokeza Pemba ilikua ni bonge la surprise, ckuamini kama watu wangejitokeza kiasi kile,
Hii inaonesha waz ni jinsi gan Mwinyi amekubalika.🤝🤝
Wale wamesafirishwa mzee, ikiwa unguja watu waliambiwa watoke maofisi kumpekea huyo jamaa yenu vipi pemba?
 
Mwinyi ni Chaguo sahihi kwa wazanzibari, msifanye makosa kutomchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…