Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Hao ni wafanyakazi ambao wamelazimishwa waende pia wapo waliopelekwa kabla ya kampeni wapo kibao huko
 
Mwone na huyu anaota ndoto ya mchana. Hivi unadiriki kusema upupu Kama huuu kabisa kwenye umma umesahau CUF Chama chake na huyo mzee kimemeguka na makundi mawili ACT Wazalendo na CUF so kura alizozipata 2015 zimegawanyika
CUF ndio nini mkuu wacha upuuzi. Sisi tunaongea mambo serious hapa.
 
Ngoja nimtafute bibie wangu aliyepo Pemba anipe uhalisia.
 
Takwimu zako hazikueleza majeshi wangapi waliopelekwa Pemba.Nakumbushia tuu πŸ˜‰
 
Acha Hizo danganya toto wewe hakuna mtu aliyelazimishwa Kila mtu anakuja kwa utashi wake kabisa
Hamuwezi kupata mtu kwa utashi wake Pemba. Mafuta bure mnatoa, mbona mambo yako wazi? Tatizo nyie wa kuvushwa huwa mnapelekwa na kurudishwa na vyombo vya serikali. ila wenye gari zao wanaelewa kwamba siku ya kampeni mafuta bure. Vijana wanapata mafuta ya drift na askari hakukamati sasa ata kama huna leseni, wewe bandika bendera ya CCM tu
 
Hatuna Mambo ya kichoko Kama hayo sisi ni Chama kubwa na tunapendwa na Kila Rika Babu mfano mzuri angalia Jana Pemba ambayo ni Ngome ya Maalim. Ngome imebomolewa
Tabia izo za kichoko mnazo za kulamisha wanafunzi waje mkutanoni na kuwashurutisha waajiriwa wa serikali kwenda kwenye mikutano kwa lazima. Uchoko mlokuwa nao zaidi mnawaambia wahitimu wa form 6 live bila kupepesa kuwa ili wapate ajira wachukue kadi za CCM. vijana wanachukua na kura hawakupigiini jinsi mlivo na tabia za machoko.
 
We Kama huna cha kuongea kaa kimya. Jibu kabisa swali kwamba wewe Ni wakala wa Mabeberu na Maalim
kheri utawaliwe na beberu kuliko kutawaliwa mtu mweusi! πŸ˜€ Miaka 50+ mmeenda kununua meli bovu la MV mapinduzi.
 
Endelea kujidanganya tu ivo ivo,
Hutaamini
2015 spoke for itself. Mlizoea kuiba kura, vijana wakaamua kuzilinda kisawasawa, mkaona hamna pa kupumulia. Mkampa dhamana Jecha kibabu cha watu mnataka kukitia matatizoni tu πŸ˜€
 
Baada ya uliyoyaandika naomba nikuulize, unamjua Rais wasasa..? anatokea wapi na ni wa chama gani..?
Rais au mkuu wa mkoa? πŸ˜€ Jambo la nchi yake mwenyewe anakwenda kuomba ruhusa kufanya kwa waliomueka Dodoma πŸ˜€
 
Wakati wa kura za kutafuta mgombea, mi CCM ya Unguja ikasema mara hii zamu ya Unguja baada ya kuona Mbarawa ni favorite kuchaguliwa. Yaani mijamaa mibaguzi. Walisema mpemba kuingia ikulu ni sawa na mbwa kuingia msikitini. Yaani wamewafananisha wapemba na mbwa, hao ni CCM, leo hii eti wanajipa matumaini kuwa Wapemba wamemkubali Mwinyi kisa tu wamebeba watu kutoka Unguja na Bongo kuwapeleka Pemba.
 
PALE NZI WA KIJANI WANAPOJITEKENYA KISHA WANACHEKA WENYEWE.
CCM HAIJAWAHI KUKUBALIWA VISIWANI, HUSUSAN PEMBA!
WEWE NI MBULULA KAMA ALIVYO MWENYEKITI WAKO!
NIPO HUKU PEMBA KWA SASA NA KWA TAARIFA YAKO TU KUTOKEA MKOANI, CHAKE, WETE MPAKA MICHEWENI HAKUNA WILAYA HATA MOJA AMBAYO CCM ITAPATA KURA 10!
 
Pemba hii ya Tanzania ama ile ya Msumbiji? Jitekenye tu na kucheka mwenyewe.
 
Huijui pemba tuulize tunaoijua yakhee.

Mimi binafsi nafuata sana kwasababu gari ni bure tu kinyume chake hamna kitu.

Sehem yenye nyumba 500 pemba utapata nyumba 20za ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…