Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Toka lini Pemba ikiwa Nchi?
Si ndio Maalim Seif anavyowafariji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini Pemba ikiwa Nchi?
Hisia hizi hazina tofauti sana na zile za maalim Seif, hana ushahidi wowote wa kuona. Kama angekuwa nao si angekimbilia mahakamani? Otherwise, tutashindwa kutofautisha lipi limefanywa na hao unaowaita mapolisi na lipi limefanywa na hao unaowaita wazalendo wa Pemba!
Hizo mahakama zimeshapigwa kikumbo zamani na CUF au huna habari ?
Utakwendaje mahakamani wakati unaemshitaki ni msudani Jaji ni msudani wakili ni msudani ?
Amka wacha kutetea ujinga na kujiona unazungumza la maana kumbe ni limbukeni tu ,yaani unafurahisha watu wengi kwa kumuudhi mtu mmoja.Pole sana kama ungekuwa mwanangu ningekubadilisha na mkate tu.
Hujaelewa, ni chama cha Kigaidi!
Kibunango, mwenzako nilikuwa huko huko(najuta sana) tena nilikuwa si mbali na jikoni kunakopikwa hizo mbinu chafu, nakuapia kuwa, CCM haikuwahi kushinda uchaguzi wa urais Zanzibar bila ya hizo mbinu chafu.Mbinu ambazo zinazosemwa si zingine zaidi ya kampeni katika sura mpya, CCM haina mbinu chafu kama wengi mnavyotaka kusushawishi.
Tena mnakosea sana kusema kuwa CCM inacheza rafu Pemba! Zaidi ni CUF ambayo inatumia rafu ili kuweza kuwaingiza watu hao Unguja kwa kupiga kura.