Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Zanzibar ni nchi huru na Ina tume yake ya uchaguzi, na Ina Rais wake. Watia nia ya uwakilishi bungeni wanawez
 
Ila 2015 ilikuwa aibu sana, this time maalimu kaamua halafu pia amepata sana nguvu kwa Tundu Lissu.

Yaani naamini kama Maalimu angeenda Chadema mambo yangekuwa tofauti sana.

Sijui kwanini hakwenda Chadema. Chadema ndo wanaweza hizi harakati, ACT na CUF hawana historia ya kuwa wapinzani kwahiyo kuna level fulani ya mapambano na harakati hawawezi kufika
 
Yaliyotokea kwa Sumaye yalimwogopesha sana.
 
Nimekumbuka nilipokua mdogo... ilikua kabla hata sjafikisha umri umri wa kupiga kura kikatiba...



Kabla hatujaanza kutishiana tukumbuke tuna nchi moja tuu nayo ni Tanzania na amani ya nchi hii ni kubwa kuliko mtu yeyote
Wakati tunadai uhuru tukumbuke tunadaiwa utii bila shurti
Wakati tunadai haki tukumbuke tunatakiwa kutimiza wajibu wetu

Kampeni bila vitisho inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…