Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Naamini kuna kauli mbadala hasa unapotaka kuwasilisha ujumbe wowote ule.
Kauli kama hizi hazifai hasa kwa mtu anayetafuta wadhifa mkubwa wa kuongoza watu.
Zaidi ya hayo umri wake kama Mzee ugemfanya kuyapima maneno yake kabla hajayafyatua. Maana yakishatoka na kuleta madhara huwa hayarudi kamwe.
Seif anajitia uazimu, wakianza kupata wanachokitamani asiombe poo
 
Siku ya matokeo anawekwa chini ya ulinzi anazungukwa kila kona mtu anatangazwa na kuapiswa kabisa alafu tuone ataenda wapi na atatokaje kwake mbele ya bataliani nzima ya ulinzi
Mkuu mikubonyeze. Hata akiwekwa chino ya ulinzi watakuwa wamemsaidia. Hawatosema tena kwamba kawatuma yeye kajichimbia. Mwaka huu liwalo naliwe. Ukimwaga ugali namalizia mboga.
 
hajapenda kuyatamka maneno haya. Inaonekana wazi amechoka kudhulumiwa. Ina maana gani kufanya uchaguzi wa kupiga kura iwapo mshindi hatangazwi???

Kuna wakati mtu anasukumwa anakubali, Ila akifikishwa ukutani lazima reaction iwepo.


JESUS IS LORD.
Not lord only JESUS IN GOD AND IN HIM WE MUST TRUST!
 
Mbona hmna tume ya uchaguzi ya bukoba?? Unaimbishwa tu nchi moja na wewe kama kondoo lislo ubungo unaimba tu.

Watu wana tume yao ya uchaguzi wewe umeng'ang'ania nchi moja nchi moja.
 
Nimekumbuka nilipokua mdogo... ilikua kabla hata sjafikisha umri umri wa kupiga kura kikatiba...

View attachment 1553104

Kabla hatujaanza kutishiana tukumbuke tuna nchi moja tuu nayo ni Tanzania na amani ya nchi hii ni kubwa kuliko mtu yeyote
Wakati tunadai uhuru tukumbuke tunadaiwa utii bila shurti
Wakati tunadai haki tukumbuke tunatakiwa kutimiza wajibu wetu

Kampeni bila vitisho inawezekana
Rekebisheni kasoro zinazolalamikiwa huko Zanzibar ili mambo yaende vizuri na amani.
 
Back
Top Bottom