Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Hakuna anayeomba kuumwa.

Namuombea Magufuli apone maradhi yanayomsumbua lakini sitaki aendelee kuwa rais wa nchi hii.
Lissu anatembea na vyuma ila huyo mgonjwa wako hakutaka hivyo alitaka AFE namimi namuombea AVUTe mbere tupate Raiis mpya aliyetaka kuuwawa na Raisi wa zamani
 
Lissu anatembea na vyuma ila huyo mgonjwa wako hakutaka hivyo alitaka AFE namimi namuombea AVUTe mbere tupate Raiis mpya aliyetaka kuuwawa na Raisi wa zamani
Roho mbaya ya Magufuli dhidi ya Lisu abaki nayo mwenyewe.

I wish them all better health.
 
Ujue unazingua utamuombeaje wakala wa ibilisi afya njema?!
Mimi ni mkristu mkatoliki.

Imani yangu ya kikristo inanifundisha kuwapenda wanaonitendea mabaya.

Nampenda magufuli kama binadamu ila nayachukia matendo yake yenye kuharibu utulivu nchini.
 
Wembe ni uleule,Maalim akilalama saana anawekwa kwenye shavu la makamo wa kwanza wa Rais,hapo kwisha kazi,mbona rahisi tu.
 

Aamue kwa busara vinginevyo mhhhhhhhh!!!!
 
Maalim this time ...., but kupitia pale Sirari ningepanda hata punda kuvuka upande wa pili kwa Uhuru anipe hifadhi kuliko kutekeleza amri ninayojua kabisa itaniletea shida katika maisha yangu milele!
Unashauri uasi kwa vyombo vya dola. Kosa hili linaweza kukutia matatani kama mwahini ama mchochezi wa uvunjifu amani ya nchi.
 


Kama hupewi haki uendelee kutiwa vidole ?? Masheikh mwaka wa sita huu wanasota hakuna kesi , utegemee kitu gani. Ingalikuwa ni mapadri au maaskofu wale basi hata wiki isingalifika
 
hajapenda kuyatamka maneno haya. Inaonekana wazi amechoka kudhulumiwa. Ina maana gani kufanya uchaguzi wa kupiga kura iwapo mshindi hatangazwi???

Kuna wakati mtu anasukumwa anakubali, Ila akifikishwa ukutani lazima reaction iwepo.


JESUS IS LORD.
Hata kama ni reaction bado unaji restrain.
 
Chama tawala kilichoko madarakani ndio kina wajibu wa kulinda amani na haki.

Unaona maneno makali ya Sefu lakini huoni uonevu na dhuluma za CCM kwa Wapinzani ambao wanafanya siasa kwa mjibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Ninaposema hivyo sina maana kuwe na upendeleo wa kivyama katika kuvuruga amani. Sheria ni sheria hivyo pande zote zile, yeyote atakaye kutuvuruga sisi wananchi naamni hatapendelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…