Maalum kwa ajili ya Simba na Yanga. Tukutane hapa tunywe Kahawa na kashata

Maalum kwa ajili ya Simba na Yanga. Tukutane hapa tunywe Kahawa na kashata

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
kumekuwa na threads za kuelemea upande mmoja na magroup ya whatsapp. lakini nimewaza zaidi ni bora kama kutakuwa na group lenye kuwakutanisha wapenzi na mashabiki wa Simba na Yanga. hapa tutapata nafasi ya kutaniana sana na pia kufarijiana kwa uhuru bila mtu kuambiwa ni Mamluki.

mpira ni furaha,undugu na kujenga utani. wala si uadui. mwaka huu simba na yanga zote zipo kwenye hatua nzur za kuchukua kombe tukutane hapa kutaniana na pia kwenye group la whatsapp tuwasiliane kwa namba hiii wanamichezo 0714160222 .
 
Mm simbaaa mnyamaa mkalii...na swalaa LA ubingwa simbaa bingwa msimu huu hataa kwa goli laa puaa
 
mwenye matokeo ya jana tafadhari, ndo naingia mjini kutoka maporini huko mimi ni yanga lakini.
 
Back
Top Bottom