Kenya ndio mlipiga kampeni sana ili Tanzania itengwe kwa madai kwamba hatuchukui hatua, mliitangazia dunia kwamba watanzani wanakufa kwa wingi na watu wanaokotwa barabarani, tulijaribu kuwaambia kwamba kila nchi inatumia njia tofauti kulingana na mazingira ya nchi yake laniki hamkukubali, mkafunga mipaka yenu, mkakataa kuamini vyeti vyetu tulivyovitoa kwa madereva.
Huu ni mwezi wa 4 sasa, mlikua mnasubiri na kusema kwamba Tanzania itakua ndio Italy ya Africa, lakini hadi sasa hamuamini kilichotokea, lazima tuwacheke na kuwaombea mabaya kwasababu ninyi mpo na wivu na roho mbaya sana kwa Tanzania.