Kila nchi inachukua hatua zake kivyake mwisho wa siku end result ndo itaonesha hatua ipi ilifaulu..huu upuzi wa nyinyi kuibeza Kenya kwa hatua ilizochukua ni ujingaPale munateseka kwa korona kwa kukosa maarifa wakati bongo mambo kama hivi.
Hamna hatua mliyochukua.nyinyi mnapima watu.Kila nchi inachukua hatua zake kivyake mwisho wa siku end result ndo itaonesha hatua ipi ilifaulu..huu upuzi wa nyinyi kuibeza Kenya kwa hatua ilizochukua ni ujinga
Kama hadi sasa huoni maana ya testing na contact tracing you're beyond educating... Baki na hizo akili zakoSasa nyinyi hapo mnapambana na corona au mnapambana na vipimo[emoji23][emoji23][emoji23].
Mafanikio pia bado kipimo kiko mbele,kinawazidi tactics.
Kutopima ndo hatua za kupambana???Hamna hatua mliyochukua.nyinyi mnapima watu.
Kupima corona sio hatua za kupambana nayo.
Nani ambaye hapimi sasa!!!!!Kutopima ndo hatua za kupambana???
Kenya ndio mlipiga kampeni sana ili Tanzania itengwe kwa madai kwamba hatuchukui hatua, mliitangazia dunia kwamba watanzani wanakufa kwa wingi na watu wanaokotwa barabarani, tulijaribu kuwaambia kwamba kila nchi inatumia njia tofauti kulingana na mazingira ya nchi yake laniki hamkukubali, mkafunga mipaka yenu, mkakataa kuamini vyeti vyetu tulivyovitoa kwa madereva.Kila nchi inachukua hatua zake kivyake mwisho wa siku end result ndo itaonesha hatua ipi ilifaulu..huu upuzi wa nyinyi kuibeza Kenya kwa hatua ilizochukua ni ujinga
Sioni budaaa,kenya is my case study[emoji16][emoji16][emoji16].Kama hadi sasa huoni maana ya testing na contact tracing you're beyond educating... Baki na hizo akili zako
Tunataka kuona maambukizi na vifo Kenya vinapungua, hatutaki maswali na maneno mengi yadiyokua na matokeo yoyoteKutopima ndo hatua za kupambana???
Tatizo la Kenya lipo vichwani mwao, wala usilaumu vifaa, wakenya hawana akili na ni wajinga sana.Hivi kenya mbona bado wanaangamia, sisi Tanzania huku kwetu Covid-19 imeishaje, au kenya ni vifaa wanavyotumia
Dunia nzima kila mtu ni mjinga ila Tanzania kila mtu ni mwerevu good day sirTatizo la Kenya lipo vichwani mwao, wala usilaumu vifaa, wakenya hawana akili na ni wajinga sana.
"Kila nchi inachukua hatua zake kivyake"Kila nchi inachukua hatua zake kivyake mwisho wa siku end result ndo itaonesha hatua ipi ilifaulu..huu upuzi wa nyinyi kuibeza Kenya kwa hatua ilizochukua ni ujinga
Japo kinyonge but huna namna kukubali[emoji16]Dunia nzima kila mtu ni mjinga ila Tanzania kila mtu ni mwerevu good day sir
Kweli we mpumbavu sasa mpaka sasa ujajua nchi gani imefaulu au nanyi bado mnaimani mpo ktk watakaofaulu?. Kila nchi imechukua hatua kivyake na matokeo tayar hayo matokeo unayoyataka wewe yatokee kwa baada ya mda gani wakati Tanzania tulifunga kila kitu ila sasa hivi ligi zinaendelea kama kawa beach watu wanajimwaga tu na shule za msingi tarehe 29 unataka mpaka upate ufaulu wewe ndio ujue kama watu wanafaulu. Watu tushashinda kitambo tu ila tatizo la Kenya wanakawaida moja , muna kitu kujiona ninyi bora kuona kama tatizo lipo kwenu bc lazima itakua ngumu sana kukoekana nchi zingine cjui kwakua ninyi munaongea kingereza!!Kila nchi inachukua hatua zake kivyake mwisho wa siku end result ndo itaonesha hatua ipi ilifaulu..huu upuzi wa nyinyi kuibeza Kenya kwa hatua ilizochukua ni ujinga
Hawa wakenya hawakutambui kama umechukua hatua mpaka uwaige wazungu au uwaige waoHamna hatua mliyochukua.nyinyi mnapima watu.
Kupima corona sio hatua za kupambana nayo.
[emoji16][emoji16][emoji16] bc umejibu kwa kingereza unajiona ndio umehalalisha ubora wa hatua zilizochukuliwa hapo mwenyewe!! Mpaka nakuonea hurumaKama hadi sasa huoni maana ya testing na contact tracing you're beyond educating... Baki na hizo akili zako
Imegeuka halafu hawajijui bado wanajiona wapo bora tuKenya ndio mlipiga kampeni sana ili Tanzania itengwe kwa madai kwamba hatuchukui hatua, mliitangazia dunia kwamba watanzani wanakufa kwa wingi na watu wanaokotwa barabarani, tulijaribu kuwaambia kwamba kila nchi inatumia njia tofauti kulingana na mazingira ya nchi yake laniki hamkukubali, mkafunga mipaka yenu, mkakataa kuamini vyeti vyetu tulivyovitoa kwa madereva.
Huu ni mwezi wa 4 sasa, mlikua mnasubiri na kusema kwamba Tanzania itakua ndio Italy ya Africa, lakini hadi sasa hamuamini kilichotokea, lazima tuwacheke na kuwaombea mabaya kwasababu ninyi mpo na wivu na roho mbaya sana kwa Tanzania.
Trump saa hii anaendelea na kampeni, jana urusi imefanya sijui onesho gani na watu hata barakoa hawakuvaa. Nyie mmen'gan'gania kujifungia ndani na kupimaDunia nzima kila mtu ni mjinga ila Tanzania kila mtu ni mwerevu good day sir