PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 832
- 447
Hi!
Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona.
Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza kutibika kabisa bila kupata madhara ya kudumu kama vile kupungua nguvu za kiume na/ au kupoteza uwezo kabisa wa kuzalisha.
Msaada tafadhali. Najua mtamlaum kwa kutocheza salama, lkn kabla ya kufika huko tuanze na kumpa msaada wa kunusu hali yake kwanza alafu hayo yafuate baadae.
Karibu!