Maambukizi ya Pili ya Gonorea yanatibika?

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
832
Reaction score
447
Hi!

Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona.

Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza kutibika kabisa bila kupata madhara ya kudumu kama vile kupungua nguvu za kiume na/ au kupoteza uwezo kabisa wa kuzalisha.

Msaada tafadhali. Najua mtamlaum kwa kutocheza salama, lkn kabla ya kufika huko tuanze na kumpa msaada wa kunusu hali yake kwanza alafu hayo yafuate baadae.

Karibu!
 
Mkuu unatisha, yaani ulipona gono bado ukaendelea kufanya ngono zembe
 
Akapime na gono la mdomo kama alikua mzee wa chumvini domo lisije chambuka!
 
mnaaambiwaga jaman ngono zembe hazifai alikua danger zone katoka karudia yale yale asee
 
Dah. Anatafuta tuzo la Ukimwi Awards na kwa juhudi hizi atapata tuuu.
 
pole yake jaman aende hospital akatibiwe jaman kabla haijawa complicated
 
Hi!

Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona.

Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza kutibika kabisa bila kupata madhara ya kudumu kama vile kupungua nguvu za kiume na/ au kupoteza uwezo kabisa wa kuzalisha.

Msaada tafadhali. Najua mtamlaum kwa kutocheza salama, lkn kabla ya kufika huko tuanze na kumpa msaada wa kunusu hali yake kwanza alafu hayo yafuate baadae.

Karibu![/
Mtu eeeeh? Rafiki yako eeh? Mwambie Sio NEno anaweza kutibiwa akapona ila jee akisha pona atarudia tena au ndio basi toooba hafanyi bila kinga?
 
Hi!

Kuna mtu ameambukizwa Gonorea kwa mara ya pili sasa. Kwa mara ya kwanza alitibiwa mwezi April mwaka huu na kupona.

Sasa ameambukizwa tena na anahitaji ushauri wa kitabibu kama anaweza kutibika kabisa bila kupata madhara ya kudumu kama vile kupungua nguvu za kiume na/ au kupoteza uwezo kabisa wa kuzalisha.

Msaada tafadhali. Najua mtamlaum kwa kutocheza salama, lkn kabla ya kufika huko tuanze na kumpa msaada wa kunusu hali yake kwanza alafu hayo yafuate baadae.

Karibu!
Mkuu PSPA Pure'12 udsm Ukikosa Dawa ya kukutibu hayo maradhi yako ya Gonorrhea nitafute mimi Dawa ya kukutibu maradhi yako ninayo kunipata mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom