Maambukizi ya UKIMWI: Mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya inaongoza

Maambukizi ya UKIMWI: Mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya inaongoza

Nimeongeza power point presentation (ppt) inayo eleza viashiria mbalimbali. Check kwenye Original thread.
 
Nimeongeza power point presentation (ppt) inayo eleza viashiria mbalimbali. Check kwenye Original thread.

Shukrani sana mkuu.
Nimepata picha, nitajitahidi kucheck na NBS na TACAIDS ili kupata mwanga zaidi. Data muhimu sana hizi.
 
KILIVITE nakuheshimu sana, na naheshimu mawazo yako. Nimeweka maandishi kama yalivyo kwenye Report, nime-edit zaidi ya mara 3, lakini ukipost maandishi yanarudi vilevile kimbanano.Kuhusu Elimu yangu inawezekana ikawa nikweli darasa la Pili B. Chamsingi anaglia huo ujumbe aliokuwekea huyo std IIB mantiki yake. Otherwise TUKO PAMOJA . Tushirikiane kupambana na UKIMWI.

The Great hongera kwa majibu mazur yaliyojaa hekima na busara
 
Back
Top Bottom