Maambukizi ya ukimwi

Tena zamani walikuwa wanasema ARV mpaka cd4 zishuke. Siku hizi wanahamasisha ukipima tu unaanza on the spot. Washagundua kuwa wateja wao wanapungua.
Ki msingi uki pima uki kutwa na ukimwi kuna magonjwa matatu mengine itabidi upime nayo ni TB na malaria.... gonjwa lengine uwa lina nitoka na kama uta kutwa una gonjwa moja wapo kati ya ayo hakikisha una tumia dawa zake na kupona then una kula chakula bora na mazoezi mazuri alaf una rudi kupima tena
 
Mimi nawaasa vijana wenzangu, dhambi ina malipo yake na malipo yake ni makubwa sana.
Kwahiyo cha msingi acha ngono. Ukimwi upo na unaua, taasisi nyingi siku hizi na hata makanisa ya moravian na mengine yanajaribu kuhamasisha na kutia moyo watu wenye VVU lakini ukweli ni kwamba waathirika ni special group ambalo lina mawazo chungu mzima na majuto mengi (hasa kwa wale waliopata kwa njia ya ngono)..
NARUDIA TENA UKIMWI UPO na ni MBAYA SANA.. ukipata kukutana na walioupata ukiwasikiliza utaumia sana. Mimi niliisha muuguza ndugu yangu na bahati nzuri au mbaya alikua hataki mtu yeyote amuuguze.
Nilijifunza mengi sana na kulia sana pindi nikiwa naye, kwahiyo nawaomba Ndugu zangu ACHENI NGONO /UZINZI adhabu yake ni UKIMWI/VVU.. na hata Mungu anaweza akakuadhibu kwa njia hiyo.
Muombe sana Mungu akusaidie uepukane na gonjwa hilo.

UKITAKA KUJUA NINI MAANA YA MSEMO NARINGA KWASABABU NIMEPIMA UENDE UKAPIME ALAFU UKUTE UKO NEGATIVE.. MIMI NIMEPIMA NA NINA RINGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yani Sasa hivi mada zote za ukimwi nazisoma with confidence ya ajabu bada ya Jana kupima ukimwi

Haya mambo yanaogopesha sana tunajifanya tunaroho ngumu lakini linapokuja swala la kupima hakuna mwenye ujasiri huo

Jana nimepitia kwenye tanuri la moto bada ya kugundua ni mzima Nina mpango wa kuoa Sasa zinaa Basi sitaki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachoongea ni correct kabisa.... hakuna ujasiri katika ukimwi unapoenda kupima aisee kama ulikua na mienendo fulani hivi lazima uogope sana.... maana ukimwi ni mbaya sana ni gonjwa la kutisha kupindukia watu hua wanauona hivihvi lakini sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa mkuu nilikuwa Na wasiwasi sana mi sio mzinzi Na Wala Huwa Sina tabia ya kuto tumia condom kabisa lakini niliwahi katwa Na kitu chenye ncha kali alafu mazingira tatanishi kweli maana Dunia ya Sasa hakuna cha kuamini kabisa from there sikuwahi kuwa na Amani yani hata nikipata kipele tu Huwa nahisi ndo ukimwi ikabidi tu Jana nijilipue hatimae ni mzima wa afya Mungu ni mwema sana jamani Sina hata cha kumrudishia mana stress nilizopata zimenitesa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu! Ukishaingiza tu kichwa kwenye kile kitobo kwisha habari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…