Maambukizi ya ukimwi

Maambukizi ya ukimwi

Mimi nauliza MTU unaweza ukapima ukimwi Mara moja ukaambiwa huna na ukawa huna kweli au unahitaji kupima tena? Mimi nilipima kituo cha kwanza nikaambiwa sina nikavuta miezi mitano mbele nikapima kituo kingine nikaambiwa sina pia, nikasubili miezi mitatu mbele nikarudi kituo cha kwanza wakaniambia sina tena. Sasa hili la kukaa miaka kumi bila kujua kama mtu umeukwaa ndo linanitisha.
Ukiwa unapima unaambiwa huna...huwa hufanyi kavukavu au unaenda nyama nyama?
 
Hivi inaonekana kupima kwa wengi ni mtihani hasa kusubiri majibu.
Juzi nimepima na wala sikuwa na tension yoyote. Ilikuwa kitu cha kawaida sana.
Nafikiri kama mtu una rekodi sio nzuri ktk ndoa au mahusiano yako au rekodi yako ya nyuma basi ukienda pima pale unakumbuka mambo yako ya nyuma na kuingiwa hofu.
 
Kula vizuri..Fanya mazoezi...pumzisha mwili wako...ukinzingatia haya utaishi kwa Matumaini
 
ngoma hakuna wajameni rejeeni ile post inayosema..ukimwi ni uongo uloenezwa karne hii ya 21
 
Uzi za namna hii asubuhi asubuhi ndio hua zinanifanya ni log out[emoji23][emoji23][emoji23]
 
If this is the case, why they claim the infected can have the uninfected child?
Mtoto anakuwa safe tumboni, maambukizi hutokea wakati wa kujifungu. Zama I walishauri kujifungua kwa caesarian kwa wenye HIV lakini sikuhizi wana za kawaida ARV ni nzuri zaidi
 
Kama hujui status yako na Upo vizur kiafya Kuna haja gani ya kupima ili ujipe stress!Mimi kupima naweza Ila kusubiri majibu ndio siwezi.....
 
Hivi inaonekana kupima kwa wengi ni mtihani hasa kusubiri majibu.
Juzi nimepima na wala sikuwa na tension yoyote. Ilikuwa kitu cha kawaida sana.
Nafikiri kama mtu una rekodi sio nzuri ktk ndoa au mahusiano yako au rekodi yako ya nyuma basi ukienda pima pale unakumbuka mambo yako ya nyuma na kuingiwa hofu.
Mkuu ni kumuomba Mungu tu, unaweza kuwa mwaminifu kumbe mwenzako anakumbushia na first love wake mara moja moja
 
Back
Top Bottom