witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Vipimo vinadetect?Anamaanisha mwezi mmoja baada ya kukutana na mwathirika uende ukapime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipimo vinadetect?Anamaanisha mwezi mmoja baada ya kukutana na mwathirika uende ukapime
Haaaaahaaaa...sihami JF ng'oooNdiyo
Akikujib nitagWhat about wet kisses (denda).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulikua na sababu ya kuongelea UKIMWI asubuhi kama hii? Baki na uzi wako
Ukiwa unapima unaambiwa huna...huwa hufanyi kavukavu au unaenda nyama nyama?Mimi nauliza MTU unaweza ukapima ukimwi Mara moja ukaambiwa huna na ukawa huna kweli au unahitaji kupima tena? Mimi nilipima kituo cha kwanza nikaambiwa sina nikavuta miezi mitano mbele nikapima kituo kingine nikaambiwa sina pia, nikasubili miezi mitatu mbele nikarudi kituo cha kwanza wakaniambia sina tena. Sasa hili la kukaa miaka kumi bila kujua kama mtu umeukwaa ndo linanitisha.
Hapana mchezo wa kavu kavu niliustopisha kabisa. Ishu ilidate na binti Fulani halafu raia wakaanza kunitisha eti anatumia ARV ndo nikahangaika kupima Pima vile.Ukiwa unapima unaambiwa huna...huwa hufanyi kavukavu au unaenda nyama nyama?
Ikiwa ndivyo bas hali itakuwa mbaya zaidi hapo baadaeBody fluids including sperms, blood, vaginal discharge ect
Chances ni ndogo sanaWhat about wet kisses (denda).
Mtoto anakuwa safe tumboni, maambukizi hutokea wakati wa kujifungu. Zama I walishauri kujifungua kwa caesarian kwa wenye HIV lakini sikuhizi wana za kawaida ARV ni nzuri zaidiIf this is the case, why they claim the infected can have the uninfected child?
1. CD4 zinazidi kushukaKama hujui status yako na Upo vizur kiafya Kuna haja gani ya kupima ili ujipe stress!Mimi kupima naweza Ila kusubiri majibu ndio siwezi.....
Ooh okHapana mchezo wa kavu kavu niliustopisha kabisa. Ishu ilidate na binti Fulani halafu raia wakaanza kunitisha eti anatumia ARV ndo nikahangaika kupima Pima vile.
Mkuu ni kumuomba Mungu tu, unaweza kuwa mwaminifu kumbe mwenzako anakumbushia na first love wake mara moja mojaHivi inaonekana kupima kwa wengi ni mtihani hasa kusubiri majibu.
Juzi nimepima na wala sikuwa na tension yoyote. Ilikuwa kitu cha kawaida sana.
Nafikiri kama mtu una rekodi sio nzuri ktk ndoa au mahusiano yako au rekodi yako ya nyuma basi ukienda pima pale unakumbuka mambo yako ya nyuma na kuingiwa hofu.
Nilikuwa nasubiri jibu hili,Chances ni ndogo sana