Maambukizi ya ukimwi

Maambukizi ya ukimwi

Anaanza hivi

Maambukizi ya HIV, huchukua masaa 72 kwa virusi kujiingiza kwenye chengen hai za mwili. Baada ya wiki mbili utaanza kusikia dalili za mafua na kihoma kidogo. Hapa mwili unakustua kuwa umeingiliwa na adui. Utapona homa na maisha yataendelea.

Utaanza kupata fungus na ngozi kuwasha, hapa CD4 zimeanza kushambuliwa. Mawazo ya wengi ni kutafuta dawa za fungus na kunywa piriton kukomesha muwasho wa ngozi. Bila kujua kuwa kuna adui mkubwa zaidi. CD4 zitapungua taratibu.

Kama kinga ya mwili ilikuwa nzuri kabla ya maambukizi utakaa hata miaka mitano bila kufahamu kuwa uneambukizwa. Wengine hukaa miaka 10. CD4 zikianza kushuka chini ya 500 mwili utapata homa kali sana. Joto kali, kutapika kwa wengine. Hapa mwili unakufahamisha umesurrender kwa adui.

Homa hii itapona lakini utaanza kuchoka na kupenda kulala. Utajikuta masaa mengi ya siku unayatumia kitandani. Fungus wanakusumbua kwakuwa mwili hauwezi kupigana nao tena. Hapa uko kwenye hali mbaya na magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia yanaweza kukushambulia kirahisi.

Kuna wanaovuka stage hii mpaka kufikia AIDS ndiyo huwa mahututi kitsndani. Sigara Kali

CD4 ni kama jeshi la ulinzi kwenye mwili wako, wakishambuliwa mwili unashindwa kupigana kabisa na hatari ya ains yeyote.
 
PLAGIARISM at its purest form!
This is your thread.
 
Ulikua na sababu ya kuongelea UKIMWI asubuhi kama hii? Baki na uzi wako
 
Mimi nauliza MTU unaweza ukapima ukimwi Mara moja ukaambiwa huna na ukawa huna kweli au unahitaji kupima tena? Mimi nilipima kituo cha kwanza nikaambiwa sina nikavuta miezi mitano mbele nikapima kituo kingine nikaambiwa sina pia, nikasubili miezi mitatu mbele nikarudi kituo cha kwanza wakaniambia sina tena. Sasa hili la kukaa miaka kumi bila kujua kama mtu umeukwaa ndo linanitisha.
 
Baada ya kuambiwa hivyo, abstain! Watu wanawadharau chaputa, ila wako salama zaidi maana kumuamini mtu usawa huu ngumu sana.
 
Kijana vipi mbona hasira? Umepiga mechi miguu peku asubuhi hii nini?
Siyo asubuhi.

Wiki kama tatu nyuma. Nikamuuliza Sky Eclat maambukizi yanaanza kuonekana lini akajibu baada ya miezi 3 ila kuna advanced tech baadhi ya hospitali zinaona maambukizi ndani ya wiki 2.

Sasa nipo hapa nangojea miezi 3 mtu analeta uzi wa UKIMWI asubuhi asubuhi.
 
Alafu hizi uzi weekend huwa zinaibuliwa sana.
 
Kuna mambo mengi yame fichwa kuhusu ili gonjwa... kuna tofauti kubwa kati ya ukimwi na vvu... na ukimwi sio tatizo sana kama vvu... wahanga wa ili gonjwa kutoka africa asilimia 97% wana ukimwi na asilimia 3% pekee ndo wana vvu... ki msingi upungufu wa kinga mwilini una letwa na magonjwa mengi na sio vvu pekee.... daktari ata kupima aki kuta una upungufu wa kinga mwilini tayari we ni mgonjwa wa ukimwi na una pewa ARV...
Tena zamani walikuwa wanasema ARV mpaka cd4 zishuke. Siku hizi wanahamasisha ukipima tu unaanza on the spot. Washagundua kuwa wateja wao wanapungua.
 
Back
Top Bottom