Maambukizi ya VVU huchukua muda gani kuonyesha umeathirika?

manSniper

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
814
Reaction score
680
Kama ukifanya mapenzi bila kutumia kinga zaidi ya mara sita, ukaja hisi ulie sex nae ana virusi vya ukimwi, halafu ukae mwezi ukapime.

Je kipimo kinaweza onesha kama umeathirika?
 
mods msaidieni huyu kuweka kichwa cha habar sawa ni kuathirika sio kuadhirika.
 
Ukiona unahisi mwenzio ana ukimwi basi ushaupata...
 
If you were at risk of being infected within the last two weeks, you can see a Dr. who will prescribe you ART. The therapy will prevent you from the may be an infection.
 
If you were at risk of being infected within the last two weeks, you can see a Dr. who will prescribe you ART. The therapy will prevent you from the may be an infection.
ok
 
Miezi 3 ambapo kitaalam tunaita "window period" hapo virusi havionekani.
Baada ya hapo vinaanza kushambulia seli hai na hivyo ukipina unaviona.
 
Sio rahis kujua kama umeadhirika bila kupata vipimo na majibu sahih kutoka kwa docta. Nenda kapime tu ujue afya yako wala usiogope
 
Lakini si inasemekana kuna Dalili za awali zitakazojitokeza ndani ya wiki chache iwapo umeambukizwa?
 
cku mja ukiamka una kohoa ujue umeishaaaaaaaa
 
siku nyingine kabla hujasex fuata vitu hivi mdogo wangu
1. hakikisha kabla ya kuingia mzigoni zile nywele za kule hujazinyoa
2. hakikisha huna kidonda chochote kwenye yale maeneo na pia ata mdomoni
3. ukishakojoa nenda ukakojoe nje mkojo [tofautisha hapa mkojo na shahawa]
4. hakikisha umefanya romance mpaka K imekuwa mbichi kisha uingie ukihisi pamekauka bora ukapumzika msije toana damu
 
Ni kweli kwasababu mwili unakua umeingiliwa na foreign body katika wiki mbili za maambukizi utapata mafua.
halaa kwahiyo niki do halafu baada ya wiki mbili nikiwa na mafua nijue teyari? and haya mafua ni ya kawaida ama makali? sana
 
halaa kwahiyo niki do halafu baada ya wiki mbili nikiwa na mafua nijue teyari? and haya mafua ni ya kawaida ama makali? sana
Yanategemea immune system yako, usifanye hicho kuwa kipimo bwana, kacheki damu pia kuwa mwangalifu na mtu unae do nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…