Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone! Umefuraaaaaaaaahi!!!
Ni kweli kwasababu mwili unakua umeingiliwa na foreign body katika wiki mbili za maambukizi utapata mafua.Lakini si inasemekana kuna Dalili za awali zitakazojitokeza ndani ya wiki chache iwapo umeambukizwa?
halaa kwahiyo niki do halafu baada ya wiki mbili nikiwa na mafua nijue teyari? and haya mafua ni ya kawaida ama makali? sanaNi kweli kwasababu mwili unakua umeingiliwa na foreign body katika wiki mbili za maambukizi utapata mafua.
Yanategemea immune system yako, usifanye hicho kuwa kipimo bwana, kacheki damu pia kuwa mwangalifu na mtu unae do nae.halaa kwahiyo niki do halafu baada ya wiki mbili nikiwa na mafua nijue teyari? and haya mafua ni ya kawaida ama makali? sana
was just curious i hate sex haswa in generallyYanategemea immune system yako, usifanye hicho kuwa kipimo bwana, kacheki damu pia kuwa mwangalifu na mtu unae do nae.
Mzee Mwinyi ni mwana filosofa mzuri sana, alisema "ugonjwa huu umeingia pahali ambapo sote twapapenda, awe kijana, mzee. Sukari imeingia sumu".was just curious i hate sex haswa in generally