Maamuzi gani mabaya uliwahi kuyafanya yakakugharimu?

Haya mambo yapo kwa kila mmoja wetu. Hayakwepeki kwa sababu hatuna upeo wa kuona kesho.

So cha kufanya unatakiwa uchukulie poa, what goes goes, what stays stays.

Whatever was meant for you will reach you even if you are worlds apart from it. And whatever is not meant for you will not reach you even if it is between your teeth.

Bhassss.
 
Single mother
If you mean unajutia kuwa single mom mlaani shetani.

Motherhood is the best thimg that could happen to any woman whether of not the man is present in her life.

Hardships zipo za kulea ukiwa mwenyewe but usiruhusu any negative thoughts towards your child just because some dickhead opted not to be in your life.
 
Niliacha Kaz nmb Kanda ya magharibi na kujiunga na kampuni za mitaani Alo najuta had sas daah kijna ambae nilijuunga na sas HV Ni meneja wa tawi sehemu fln ...ila pia namshukuru mungu sna
 
Nyanyua mkono wako sema bwana Yesu nisamehe mimi mjinga sitarudia tena ujinga Ameen.....hakuna mtu hajawahi kukosea
 
Niliokota mil- nyingi nyingi kwa mujibu wa mwenyewe alisema mil-9 nikamrudishiaga na nilikuwa nimeona kabsa ni pesa akanitukana ki-utu uzima na kunipa elf 10 .. na kunishauri siku nyingine ukiokota pesa nyingi usimrudishie aliyepoteza wengine wanazitupa makusudi kumpa mtu bahati akafanye mambo yake.. sema nilikuwaga kijana mdogo sana
 
Mi hata sijui au kwa vile bado yankiii
 
kutoamini NEEMA R hakuwa mwanamke sahihi kwenye maisha yangu na kumruhusu aende. Manina yule mwanamke kama kuna vitu aliviacha aje avitoe ananichelewesha kufanya maisha yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…