MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo hata wale Waliowauwa walistahili Kuivuta na Kuijenga Uganda yetu na Kuzistawisha pia na Familia zao"
Chanzo: Radio One Nipashe ya Leo.
Mightier nitashangaa sana kama na Marais wengine ( hasa Samia wa Tanzania na Kagame wa Rwanda ) bila kuwasahau na wengineo wa Jumuiya hii ya Afrika Mashariki hawatamuiga Rais Mzee Museveni.
Napenda mno Marais wenye Maamuzi ya mwisho, ya Kibabe, Kijeshi ( Kimedani ) na wasio Waoga na Kelele za Wanafiki wa ndani na nje kama aliyonayo Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Amos Museveni na hasa katika hili Suala zima la Hukumu ya Kunyongwa ( Kuuwawa ) kwa wale ambao nao Wameua.