Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Ubarikiwe sana,hayo maamuzi wanayowaweza ni waislamu tu,Muongeze uyu awe mkeo wa pili ili kubalance
 
Jirani watu hawana utu tena ndiyo maana wanashanga mbona unawezaje hili, ila mimi natambua unaweza kwa kuwa unalifanya kutoka moyoni, na nina uhakika unafanya kwa mapenzi ya dhati kabisa ya mtoto na maa yake, mambo ya a good Samaritan hayo..
Yote mema, basi tu sisi wananzengo tunampa precaution, maana hatuwezi juwa Huyo mwanamke mwenzetu anamuazia nini huyu msamalia mwema😀
 
Uamuzi wako sio mbaya,ila ni lazima ujue leo sio kesho,ni lazima ujuwe kuwa kuna utamu na uchungu katika maisha,ujuwe kuwa iko siku huyo uliepanga kumsaidia atakujeruhi,sasa usije ukabadili maamuzi yako ukasababisha maumivu mabaya zaidi kwa muhusika na mtoto wake.Tafakari kwa kina sana kuhusu swala la mahusiano,pia ukumbuke kuwa huyo unaemsadia sio mke wako ambaye utamuwekea mipaka ya kuwa na mahusiano na mtu mwingine,anaweza kuwa mpole sasa hivi lakini hana kifungo chochote cha kumzuia asiende kinyume na unayotaka.Kifupi hayo maamuzi yako theoretically ni rahisi sana lakini practically ni magumu. rikiboy hapo juu amesema vizuri sana...
 
Upo sahihi heri kulea unayejua kuwa si wako kuliko kulea unaojua ni wako kumbe si wako.Wanaume lazima tuwe kisima cha furaha kwa wanawake.

Kila laheri baharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuja unishauri vyema zaidi
 
Kumbe unafanya yote haya sababu ya "HURUMA"....

You are not sober,your mind is not in a normal state of mind,upo excited na love stupidity na huruma sentiments,then hapo you will always do stupid decisions!

Dont trust your brain now...wait until your "love" and "huruma" is at level-head then decide,otherwise kanywe koka baridi!
 
Hatuwezi kufanana hata siku moja, ndio maana kuna wenye huruma, Katili, jambazi, mchawi nk.
Kila mtu na afanye sawa na moyo wake.
Mwisho wa siku ubahili na utoaji VYOTE NI UBATILI TU
 
Hatuwezi kufanana hata siku moja, ndio maana kuna wenye huruma, Katili, jambazi, mchawi nk.
Kila mtu na afanye sawa na moyo wake.
Mwisho wa siku ubahili na utoaji VYOTE NI UBATILI TU
Mkuu

Sijui infact una dira gani inakuongoza maisha haya,ila mimi kwa ubongo wangu ulivyo na mapungufu yake,naona kuna tatizo unalitafuta maana as of now unaendeshwa na hisia na sentiments,haupo sober bado!

Love imeshakuathiri

Huruma ishakuathiri

Dini ishakuathiri

Ubongo haupo kwenye ground state,upo kwenye excited state.....decisions unazofanya sasa hivi aisee ni very suspect maana unaendeshwa na over stimulated dopamine zilizopo ubongoni!

Sasa siku reality strikes ndio akili itakaa sawa na utagundua ulifanya maamuzi ukiwa kwenye kichaa state!

Sas hivi relax,subiri,ubongo utulie,hata one year,hizi tunaita nyege za ubongo!
 
Bado tu vitafunwa
 
Unampenda sana huyo dem lakini yeye hakupendi kiivo.
Na kadri utakavyoendelea kumfanyia mema mtajikuta mmeanza kumegana na wewe utajikuta unazidi kumpenda na kisha kuwa na wivu naye( utabiri tu usihofu)

Atakapokuja kuwa stable kiuchumi baba wa mtoto atarudi kuja kudiscuss issue za mtoto wake (kipindi hicho tayari mtoto anamiliki nyumba uliyomjengea) ,, ukumbuke wewe hautaingia kwenye hicho kikao/ vikao. Mdogomdogo the biological father ataanza kulimega tunda ambalo wewe umeanza kuwa na wivu nalo.

OMBI
Tafadhari yatakapotokea haya usije kumtendendea jambo baya huyo mwanamke kwani yote hayo ni wewe mwenyewe umeyataka.

Ushauri: msaidie kifedha na mambo mengine akiwa huko kwao na kama ni mzigo mwite kula arudi kwao/kwake.
 
Kila la kher mkuu China kutoa Figo ya mtu Ni million 200/ lakin Tanzania mtu unampa moyo wako lakin anakuomba hela yakusukia![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila la kher kumsampot mtoto wetu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…