Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

We sijui kama ni mzima ... Unao utindio wa ubongo ....jinga kabisa, yani serious mtu ka have sex na mtu mwngne hili jinga linatoa jina et
 
Una akili sana bwashee

Nimtoe tu wasi wasi ...yeye anafanya hayo akihisi kwamba ndo hatasalitiwa😁 mwanamke anamsaliti mtu alietoa milion 30 kumnunulia gari na mtu aliweka mafuta ya ten ...sembuse yeye kutoa jina na vitu vidogo dogo....
 
Nimtoe tu wasi wasi ...yeye anafanya hayo akihisi kwamba ndo hatasalitiwa[emoji16] mwanamke anamsaliti mtu alietoa milion 30 kumnunulia gari na mtu aliweka mafuta ya ten ...sembuse yeye kutoa jina na vitu vidogo dogo....
Yaani wewe uko juu sana
 
Maamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
[emoji116][emoji116][emoji116]
Nimtoe tu wasi wasi ...yeye anafanya hayo akihisi kwamba ndo hatasalitiwa[emoji16] mwanamke anamsaliti mtu alietoa milion 30 kumnunulia gari na mtu aliweka mafuta ya ten ...sembuse yeye kutoa jina na vitu vidogo dogo....
 
Maamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu
 
Mkuu mtoto ashakua?
 
Back
Top Bottom