Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata.Kwanini pole?
Niko sawa habari ya weweUko sawa?
Una akili sana bwashee
Yaani wewe uko juu sanaNimtoe tu wasi wasi ...yeye anafanya hayo akihisi kwamba ndo hatasalitiwa[emoji16] mwanamke anamsaliti mtu alietoa milion 30 kumnunulia gari na mtu aliweka mafuta ya ten ...sembuse yeye kutoa jina na vitu vidogo dogo....
[emoji116][emoji116][emoji116]Maamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Nimtoe tu wasi wasi ...yeye anafanya hayo akihisi kwamba ndo hatasalitiwa[emoji16] mwanamke anamsaliti mtu alietoa milion 30 kumnunulia gari na mtu aliweka mafuta ya ten ...sembuse yeye kutoa jina na vitu vidogo dogo....
Sawa mkuuMaamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Mkuu mtoto ashakua?Maamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app