Maamuzi magumu ya kujiunga JF

Maamuzi magumu ya kujiunga JF

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
5,350
Reaction score
15,426
Baada ya kuwa nje ya jukwaa hili ila nikiwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali kutoka kwa wachangiaji mbalimbali, hatimaye leo nimeamua kwa dhati yangu bila kushurutishwa na yeyote na nikiwa na akili timamu nijiunge na jukwaa hili na fikra huru, naamini mtanipokea vyema.
 
Pita huku tukuone sura kwanza maana kuna wana JF wana sura za ajabu haijawahi kutokea
 
Back
Top Bottom