3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Baada ya kuwa nje ya jukwaa hili ila nikiwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali kutoka kwa wachangiaji mbalimbali, hatimaye leo nimeamua kwa dhati yangu bila kushurutishwa na yeyote na nikiwa na akili timamu nijiunge na jukwaa hili na fikra huru, naamini mtanipokea vyema.