Maamuzi magumu ya kujiunga JF

Maamuzi magumu ya kujiunga JF

Karibu

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Karibu sana.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Baada ya kuwa nje ya jukwaa hili ila nikiwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali kutoka kwa wachangiaji mbalimbali, hatimaye leo nimeamua kwa dhati yangu bila kushurutishwa na yeyote na nikiwa na akili timamu nijiunge na jukwaa hili na fikra huru, naamini mtanipokea vyema.
Ungekuja na picha kabisa ndo ningeamini kuwa kweli umefanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom