Maamuzi magumu ya kujiunga JF

Maamuzi magumu ya kujiunga JF

Uweke basi hapa mkuu..tupate kitu
Ufunuo wa Yohana 14 : 6 - Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

Ufunuo wa Yohana 14 : 7 - akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.

Ufunuo wa Yohana 14 : 8 - Kisha mwingine, malaika wa pili, akafuata, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli, mji ule ulio mkubwa, maana ndio uliowanywesha mataifa yote mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake.

Ufunuo wa Yohana 14 : 10 - yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

Ufunuo wa Yohana 14 : 11 - Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

Ndio huu mkuu
 
Wewe tu umefanya maamuxi yawe magumu, humu JF ni kwa raha zako!
 
Back
Top Bottom