Pre GE2025 Maamuzi magumu yapo mbele ya wana Kidon wa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.

Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa.

Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu na maamuzi magumu yasipofanyika mtoto huyo atawafanya manamba ktk Taifa la baba yake nakuwaacha watupu.

Nani atathubutu kumgusa huyo mtoto kuokoa Taifa ?

Gharama nikubwa na kila mtu anaona. Je, ipo haja kujifunza kwa wa Israel au mi6 au CIA au Mossad
sijuwi ila kazi ipo
 
Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa..
Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ananguvu na maamuzi magumu yasipo fanyika mtoto huyo atawafanya manamba ktk Taifa la baba yake nakuwaacha watupu.

Gharama nikubwa na kila mtu anaona. Je ipo haja kujifunza kwa wa Israel au mi6 au cia au Mossad
Sijuwi ila kazi ipo
Ila sio makonda wala Mwigulu au Makamba au Nape.
 
Kila siku tumesema iwe mvua au jua 2025 haendi mtu vinginevyo tuimbe Tenzi
 
Jinsi alivyopangua waandamizi huko jeshini na huko usalama wa naniliu sidhani kama kuna wanaloweza kufanya.

Njia ya amani na yenye matumaini ni moja tu, ndani ya chama. Kama ZANU-PF walivyofanya kwa Mugabe.

Mtu anawekwa kati ghafla kisha mwenyewe anaandika barua ya kung'atuka. Baada ya hapo chama kinakaa na "kuridhia" maombi yake. Kisha mchakato unaendelea.

Lakini kwa TZ hii ninayoijua iliyojaa watu wajinga, wezi, wabinafsi na wanaojali maslahi yao na familia zao, basi kituo kinachofuata ni 2030.
 
Daaah yule jamaa ngumi mkononi nae yupo mfukoni kweli haoni haya yanayotokea ?
 
Jinsi alivyopangua waandamizi huko jeshini na huko usalama wa naniliu sidhani kama kuna wanaloweza kufanya.

Njia ya amani na yenye matumaini ni moja tu, ndani ya chama. Kama ZANU-PF walivyofanya kwa Mugabe.

Mtu anawekwa kati ghafla kisha mwenyewe anaandika barua ya kung'atuka. Baada ya hapo chama kinakaa na "kuridhia" maombi yake. Kisha mchakato unaendelea.

Lakini kwa TZ hii ninayoijua iliyojaa watu wajinga, wezi, wabinafsi na wanaojali maslahi yao na familia zao, basi kituo kinachofuata ni 2030.
2025 Ngumu hapo kweli 2030
 
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.

Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa.

Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu na maamuzi magumu yasipofanyika mtoto huyo atawafanya manamba ktk Taifa la baba yake nakuwaacha watupu.

Nani atathubutu kumgusa huyo mtoto kuokoa Taifa ?

Gharama nikubwa na kila mtu anaona. Je, ipo haja kujifunza kwa wa Israel au mi6 au CIA au Mossad
sijuwi ila kazi ipo
Kile kilicho amuliwa ndicho kitasimama kuwa chenyewe!

Bado nina imani na Dola inayoamua mstakabali wa Taifa hili,maamuzi yoyote watakayoamua nitayaunga mkono Mimi kama mwanajamhuri iitwayo Tanzania!
 
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.

Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa.

Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu na maamuzi magumu yasipofanyika mtoto huyo atawafanya manamba ktk Taifa la baba yake nakuwaacha watupu.

Nani atathubutu kumgusa huyo mtoto kuokoa Taifa ?

Gharama nikubwa na kila mtu anaona. Je, ipo haja kujifunza kwa wa Israel au mi6 au CIA au Mossad
sijuwi ila kazi ipo
Sio mazuri kama magumu
 
Back
Top Bottom