Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.
Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa.
Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu na maamuzi magumu yasipofanyika mtoto huyo atawafanya manamba ktk Taifa la baba yake nakuwaacha watupu.
Nani atathubutu kumgusa huyo mtoto kuokoa Taifa ?
Gharama nikubwa na kila mtu anaona. Je, ipo haja kujifunza kwa wa Israel au mi6 au CIA au Mossad
sijuwi ila kazi ipo
Huna lolote, Kila mara unajifanya una maono ya mbali lakini hayatokei. Ulipatia kwa Ben Saa8 tu. Lakini tokea hapo huna jipya.