Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
- Thread starter
-
- #21
[emoji1] kuwa na mchumba wa namna hiyo naona umefanya maamuzi magumu mnooeti msigegedane mpaka ndoa .... daah
nimaamuz magumu kwa kwel
Hongera sana kwa kufanya maamuzi magumukuipita hii post bila kukoment chochote pia ni maamuzi magumu
Hii ingetakakiwa kwenda kwa makapuku kwamaana wamechukua maamuzi magumu ya kuwa na chumba chao wenyewe.kuiweka thread yako hapa wakati jukwaa la jokes lipo ni maamuzi magumu sana
Japo ni mgeeni kujiunga jf lakini nimekua nikisoma na kufatilia mada mbalimbali kama kuna watu special wanatakiwa kuwa ktk majukwaa flani wengine mchango wao hauitajiki au unaukosoa na kuleta ubaguzi BASI HAWAJAFANYA MAAMUZI MAGUMU na kama wameamua kujitenga bila sababu basi Wamefanya maamuzi magumu...usikasirike ni mtazamo tuHii ingetakakiwa kwenda kwa makapuku kwamaana wamechukua maamuzi magumu ya kuwa na chumba chao wenyewe.