Maamuzi magumu

Maamuzi magumu

Hii ingetakakiwa kwenda kwa makapuku kwamaana wamechukua maamuzi magumu ya kuwa na chumba chao wenyewe.
Japo ni mgeeni kujiunga jf lakini nimekua nikisoma na kufatilia mada mbalimbali kama kuna watu special wanatakiwa kuwa ktk majukwaa flani wengine mchango wao hauitajiki au unaukosoa na kuleta ubaguzi BASI HAWAJAFANYA MAAMUZI MAGUMU na kama wameamua kujitenga bila sababu basi Wamefanya maamuzi magumu...usikasirike ni mtazamo tu
 
Dah... ngoja nifanye maamuzi magumu.. nikae kimya [emoji12]
 
Back
Top Bottom