Maamuzi magumu...!

Shem umewahi jiuliza neno "wild in bed" limechimbukia wapi?
contradictory eeenh.
wild? pleasure?

Lawyer nadhani ''wild'' inapotumika kwenye hiyo context inaashiria willingness to explore any means to please ones lover.
That's just my thinking,...I could be wrong!
 
Sasa swali langu ni kuwa, wakati mi nadhani punishment (physical), ni ngumi, mateke, vichwa, meno, rungu nk, kumbe hata "that rod stick" inaweza kutumia (sio kutotumika), kuadhibu?!!!

Tuko, tfauti ya Players na abusers iko hapo. Players wanakuchanganya na wildness yao, abusers wanakuumiza na abuses zao, have you ever heard about being raped by your husband/lover which is one of the characters za abusers wengi?! That is what I meant.

Mbu............with all due respect Sir, may I?
 

....dahhh, kaka am sad to say mimi na sifa zote za huyo mtu wa tatu aisee...dahhh, sijui nitajibadilisha vipi...labda ze boss anaweza nishauri wapi naweza pata sindano za hiyo testosterones, niwe dominant kama Lizzy alivyoshauri...!

Kuna jamaa alikuwa anadundwa na mkewe kila mara, so siku moja kumkomesha akaja usiku na rafiki yake lakini kamwambia ajifiche nje, akaanzisha zogo na mkewe, wakati mke wake anajiandaa kutoa kipigo jamaa akazima kibatari alafu akakimbia nje, then kule gizani akaingia yule rafiki yake, akashushia kosovo ya kutosha kwa yule mke, alipomaliza kumlainisha, akatokomea nje. Baada ya muda mfupi mwenye mke akarudi huku akimkemea mkewe kuwa kila siku alikuwa anammezea, leo ameamua kumuonyesha kumbe yeye ni mbabe... mke akamkoma tangu siku hiyo akidhani ndiye aliptemtembezea kosovo...
 

....dahhh, kaka am sad to say mimi na sifa zote za huyo mtu wa tatu aisee...dahhh, sijui nitajibadilisha vipi...labda ze boss anaweza nishauri wapi naweza pata sindano za hiyo testosterones, niwe dominant kama Lizzy alivyoshauri...!

Mbu wala hauna haja ya kuisaka hiyo agressiveness tunayoongelea hapa maana yenyewe ni excessive.Too much for the mind and body....

Ulivyo inatosha na ndio maana mpaka ulipofika umefika.
 
Reactions: Mbu

hukunisoma hapa kwenye 'topik mama' ee?

...mind you, tafsiri ya abuses huenda inatofautiana baina ya mtu na mtu, au jamii na jamii....
mwenyewe ananisisitiza
-" better the devil you know,...!"-

kina dada wakianza lalamika hawa wanaweza kukutajia hata yale ambayo hukuwahi yafikiria bana!
 
Lawyer nadhani ''wild'' inapotumika kwenye hiyo context inaashiria willingness to explore any means to please ones lover.
That's just my thinking,...I could be wrong!
Wala hauko wrong na naona umekubaliana na mimi zaidi labda paangalie hapo red kwa umakini zaidi, pia nikuulize kivyengine labda haujawahi kumsikia mdada especially hawa mazungu wakisifia sex kwa kusema, jamaa ni animal kwenye kitanda. animal??????
 

Ooowke... kumbe nimekupata...

(off topic kidogo... kuna wanaume hawapati stimu wakipractice mapenzi ya 'pole pole', yani wao ili kitu istimuke lazima wafanye 'fujo' kwa binti, sukuma kule, chapa kofi la mat...oni, bilingisa sakafuni, bwaga kitandani, ikiwezekana hata anauma na meno, hadi aone binti analia, then kitu inastimuka, anavamia juu, kuchukuchukuchukuchu, kitanda kinapiga makelele, chaga zinavunjika, wanadondoka uvunguni.... then anamaliza huku akiunguruma arghrrrrrrrr... Lizzy can demonstrate better...lol)
 
Hahahah....vidonge vya nini Mbu???Kwani wewe ndie mwathirika hapa???
We need you well and sober!!

....dahhh, "ukiona mwenzio ananyolewa,....!"


permission granted bbz x
 
Wala hauko wrong na naona umekubaliana na mimi zaidi labda paangalie hapo red kwa umakini zaidi, pia nikuulize kivyengine labda haujawahi kumsikia mdada especially hawa mazungu wakisifia sex kwa kusema, jamaa ni animal kwenye kitanda. animal??????

Heheheh...animal :hafikirii anatenda chochote kile anachoona kinafaa kwa wakati ule!!
 

Dominating sexual acts ehhhh???
Heheheheh hiyo demo yako nadhani inatosha kabisa!!!
....dahhh, "ukiona mwenzio ananyolewa,....!"
Hahahah..
Mwenzio akinyolewa ...kaa pembeni.
Mwenzio akinyolewa ...usimtingishe.
Mwenzio akinyolewa...........
 

....hilo jamaa enzi zetu tulikuwa tunaita ***** mtozeni! khaaa....na mwenyewe kajiaminiiiisha ati mkewe alikuwa anapigwa? i doubt bana,....hahahaha!



dahhh, umenichekesha huku ukinikumbusha mbaaaaaali sana....dahhhhh!
kweli kabisa, aggressiveness ya aina hii inaweza mpelekea ex- spouse kuwa addicted vibaya sana kwa msukule wake!
...ni zaidi ya limbwata hii!
 
"Loosing confidence is a prime and perfect sign of true love"
Infakti tangu utoe lile jibu basi natoka kijasho chembaamba halaf natetemeka kama zitto kabwe (get well soon mheshimiwa)
Hahahahahhaha..Kloro wewe ni mwisho wa reli aisee. Hii treni naona imefika. Yeahhh get well mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…