Swahiba jenga haka kapicha. Kuna mdada umemuona na baada ya kufatilia steps zake ukagundua kwamba she is more than a type of girl you are looking for, unahisi ukimpata huyu basi maisha yako yamekamilika na yatakuwa na furaha milele na ukimkosa huyu basi you might have the torture within you for the rest of your life. Outcomes ni mbili tu na hakuna ya tatu, win or loose. Weka gauge yako ya confidence ujipime itakuwaje?
BTW: hivi umewahi jiuliza kwanini mechi za fainali zinakuwa boring kuliko mechi za group stage? zingatia, wale wanacheza kuleta heshima ya timu, wewe unataka kucheza kuleta heshima ya nafsi.
Kesi ni tofauti kama hauna hisia za kweli, you have nothing to loose, unamtokea mwajuma hehehe akileta za kuleta next day unamuibukia zubeda na yeye akileta uzembe unatafta kamcharuko kamoja ka JF unakaPM wala kamoyo hakakudundi kabisa yaani.