Maamuzi magumu...!

Maamuzi magumu...!

Kama ni ushauri nadhani hapa umetolewa mwingi
Mshauri pia ajiweke wazi kwa psychologist maana serikalini kwake tayari kuna fault (ufa)
Kunahitajika busara na hekima ya hali ya juu katika kuongea na huyo mhusika maana yuko kwenye danger zone
Kama kuna kosa kubwa anaweza kulifanya ni kukubali au kushawishika kurudi nyuma kwa sababu zozote zile au matumaini ya aina yoyote ile
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.

I vowed to be out of this... but swahiba klorokwin!!! umenirudisha jamvini.... really???? i thought this was then tukiwa tunabalehe, when you hve never touched a woman, when you did even know what to say except a letter, boarding blues dance au birthday card??

MNh... haya mazee
 
Hakuna kitu cha kusumbua sana kama kuwapa watu ushauri wa mapenzi. Mizigo mingine watu wanatakiwa kubeba wenyewe.. kama wewe mwenyewe hujipigii debe huko stay out of it. Hatuwezi kuwakinga watu wote kufanya makosa na hatuwezi kuzuia watu wote - hata wale tunaowapenda kuumizwa.
 
AISEE.... call it like it is huh?
 
juggler.jpg
...nimeulizwa swali ambalo natarajiwa nitoe ushauri ambao utamjengea "huyu" dada maisha yake au utambomolea kabisa matumaini kidogo aliyokuwa nayo!
ni hivi....;

maishani mwake amewashi kuwa kwenye mapenzi serious (namaanisha long term, sio chini ya miaka mitatu) na wanaume wawili, ila;

- alisitisha mahusiano na mwanaume wake wa kwanza sababu ya "abuses," physical na psychological...
- alisitisha mahusiano na mwanaume wake wa pili sababu ya "abuses," physical na psychological
- hivi sasa, yupo kwenye mahusiano yasiyozidi mwaka mmoja na partner mpya.. ambaye yupo ok,...sio angel wala devil...

tatizo alilonalo...wale spouses wa mwanzo kila mmoja kwa nafasi yake, wanafanya jitihada usiku na mchana kumshawishi huyu mdada awafikirie upya, kwani pamoja na kwamba hawaku move on kuoa wanawake wengine...pia waliamini time is a healer...ipo siku mwanadada atajichungua upya na kugundua naye alichangia kutokezea breakups hizo...

kwa ushauri wenu, mdada huyu anapaswa kui handle vipi situation hii?...
natamani kumwambia ajaribu wa tatu, lakini mapenzi ni sumu, hayaonjwi!
kwani namuogopea asijejipa matumaini sana kwa huyu watatu
halafu matokeo yake huko mbele ya safari abakie akiilaani bahati yake...

mind you, tafsiri ya abuses huenda inatofautiana baina ya mtu na mtu, au jamii na jamii....
mwenyewe ananisisitiza -" better the devil you know,...!"-

...halahala jamani, mbu mie nasubiriwa na jibu langu jumatatu asubuhi...khaaa!?

gimme a break! u mean hana matatizo na huyu wa sasa but anajaribu kutafuta ushauri wa endapo anaweza kumfikiria mmoja kati ya wale wa awali!!!! Kama ndivyo, picha ninayopata hapa ni kwamba hana mapenzi na huyu wa sasa bali ana-pass time! Be very cautious unapotoa ushauri wa aina hiyo...unajua lovers wengi katika staili kama hiyo tayari wanakuwa na jibu ndani ya nafsi zao na wanachotaka ni kuona endapo maoni yako yatafanana na yake. Anachotafuta ni muhuri tu wa kuhalalisha hisia zake na wala sio ushauri. Mwambie aongee na nafsi yake kwamba ni nini hasa anakitafuta katika mahusiano yake. material issues au 2 sides love! Kama anachotafuta ni material love then unaweza kumshauri lakini kama emotional love basi ni yeye mwenyewe anayeweza kuamua and wht u can do is just to highlight some important points anazotakiwa kuzingatia.
 
Wote watatu hawamfai kwa sasa. Ajifanyie self evaluation anataka nini maishani mwake.
Huenda ana issues nyingi anazopingana nazo akilini kwake kiasi cha kupoteza yaliyo maamuzi sahihi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
The Mosquito, ni hivi
Huyo dada aamue mwenyewe coz yeye ndo anajua vyema yaliyo mkuta kabla na anayokutana nayo sasa, anazjua faida na hasara za ama kurudi nyuma ama kuendelea mbele,try not to be part of the outcome which is highly uncertain mbu.....ova
Wako Mtiifu
Super Thinker
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati

keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!

....ushawahi iona movie ya exorcists?....​

Khaaa! With this post Mbu ninaomba niungani rasmi na kambi ya MTM.
Huyu rafiki wa ajabu umemtoa wapi we Mbu? Kha!!
 
I vowed to be out of this... but swahiba klorokwin!!! umenirudisha jamvini.... really???? i thought this was then tukiwa tunabalehe, when you hve never touched a woman, when you did even know what to say except a letter, boarding blues dance au birthday card??

MNh... haya mazee
Swahiba jenga haka kapicha. Kuna mdada umemuona na baada ya kufatilia steps zake ukagundua kwamba she is more than a type of girl you are looking for, unahisi ukimpata huyu basi maisha yako yamekamilika na yatakuwa na furaha milele na ukimkosa huyu basi you might have the torture within you for the rest of your life. Outcomes ni mbili tu na hakuna ya tatu, win or loose. Weka gauge yako ya confidence ujipime itakuwaje?

BTW: hivi umewahi jiuliza kwanini mechi za fainali zinakuwa boring kuliko mechi za group stage? zingatia, wale wanacheza kuleta heshima ya timu, wewe unataka kucheza kuleta heshima ya nafsi.
Kesi ni tofauti kama hauna hisia za kweli, you have nothing to loose, unamtokea mwajuma hehehe akileta za kuleta next day unamuibukia zubeda na yeye akileta uzembe unatafta kamcharuko kamoja ka JF unakaPM wala kamoyo hakakudundi kabisa yaani.
 
Swahiba... kuna ka-element kakubwa sana ka fact kwenye ujumbe wako.... yani balaa, ila sasa mie tatizo langu ni kwamba niligundua kimoja, kila mamaa niliyekua namfuata kwa presha (ile ya balehe) niliishia kumboa....

And the moment I realised kwamba kutongoza hakuna SOP wala job description nikafanikiwa kumpata niliyependa nikiwa darasa la tatu, you know what?? nikamuwowa!!!!

Actually mi nadhani hakuna mtu anaejua kutongoza kwani cha kwako utakijua tu..... and the woman you are bound to be in any kind of relationship pia anajijua.... its just forces governed by the universe that play!!!

our role is only to facilitate the environment

MIE KAKA'KO SIJUI KUTONGOZA, WE MWENZANGU UNAJUA UNIPE SIMBI?
 
Swahiba... kuna ka-element kakubwa sana ka dact kwenye ujumbe wako.... yani balaa, ila sasa mie tatizo langu ni kwamba niligundua kimoja, kila mamaa niliyekua namfuata kwa presha (ile ya balehe) niliishia kumboa....

And the moment I realised kwamba kutongoza hakuna SOP wala job description nikafanikiwa kumpata niliyependa nikiwa darasa la tatu, you know what?? nikamuwowa!!!!

Actually mi nadhani hakuna mtu anaejua kutongoza kwani cha kwako utakijua tu..... and the woman you are bound to be in any kind of relationship pia anajijua.... its just forces governed by the universe that play!!!

our role is only to facilitate the environment

MIE KAKA'KO SIJUI KUTONGOZA, WE MWENZANGU UNAJUA UNIPE SIMBI?

hehehe swahiba hii rule haiapply kwenye kutongoza tu hata kwenye kuishi pia unapoteza confidence somehow kwa kumchukulia yule mwenza wako ndio everything (refer: misukule ya mapenzi , source Mbu), kuhusu suala la kutongoza kuko kwa namna nyingi swahiba na hii ni mada mpya, lakini njia nzuri ya kumtongoza ambae una hisia nae za ukweli ni "learn and impress" (hii inaficha kale kawoga tulikokazungumzia kidogo), kuliko ile ya "talk and get" (ambayo hii ndio nazani iko kibalehe zaidi)
 
klorokwin[COLOR=#ff0000 said:
i;2732263]hehehe swahiba hii rule haiapply kwenye kutongoza tu hata kwenye kuishi pia unapoteza confidence[/COLOR] somehow kwa kumchukulia yule mwenza wako ndio everything (refer: misukule ya mapenzi , source Mbu), kuhusu suala la kutongoza kuko kwa namna nyingi swahiba na hii ni mada mpya, lakini njia nzuri ya kumtongoza ambae una hisia nae za ukweli ni "learn and impress" (hii inaficha kale kawoga tulikokazungumzia kidogo), kuliko ile ya "talk and get" (ambayo hii ndio nazani iko kibalehe zaidi)
hahahaaaaaaaaaaaaaaa... basi kwenye hilo nimefeli

Mie hata mtihani mgumu niliojua napata kumi, nilikua na konfidensi ya ajabu hadi walimu walishangaa.... nadhani ni arrogance aisee
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaa... basi kwenye hilo nimefeli

Mie hata mtihani mgumu niliojua napata kumi, nilikua na konfidensi ya ajabu hadi walimu walishangaa.... nadhani ni arrogance aisee
hehehe hapo kwenye self evaluation hapo, kweli kuna vitu vinakufanya uwe exceptional, si ushawahi kuona king'ang'anizi anaondoka na bonge la mchumba bila mchumba kupenda kwasababu tu mchumba yuko weak kwenye suala la huruma? haya mambo swahiba yana ntu na ntu hapa tunaaply general rule tu. lol
 
Uamuzi wowote utakaotolewa au kuchukuliwa kwenye hii issue hauqualify title ya 'maamuzi magumu'.

Maamuzi magumu kwenye mapenzi ni kuamua kuvunja ndoa kati ya mke na mume huku mkiwa na watoto, na hamna uhakika kama hampendani tena bali ni circumstances tu zinawaletea kutoelewana.
 
Back
Top Bottom