Maamuzi magumu...!

hahaha muhimu umetoa time tu, hayo mengine yote yanatatulika loool.
ulale salama honey! sweet dreams and spare the sweetest one for me.

Nite nite Kloro....ota tumekua First family ya JF...lolzz!!
Samahani Mbu kwa uchakachuzi!!!
 
Reactions: Mbu

...dahhh, ndio kusema kizazi hiki hakitosheki, kizazi cha walafi na waroho!....tunaangamia jamani!



....swadakta, sasa kidogo utakubaliana nami kwanini kuna watu...pamoja na huyu mdada wanaweza kabisa jikubalisha mahusiano na wanaume wawili hata watatu hata kama huko anakuwa abused, almuradi yake yanamuendea...


Khaaa...embu mwambie aache ujinga.
Kwani kabla yake ilikuaje hata aone hawezi kuendelea bila kua na dada beneti?

....lol...Lizzy ushasahau ulichoandika hapo juu?
MAHITAJI!


Nite nite Kloro....ota tumekua First family ya JF...lolzz!!
Samahani Mbu kwa uchakachuzi!!!

...usijali Lizzy, umechakachua kwa nia njema kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…