Maamuzi magumu...!

Uskute fujo lote hili kumbe mdada anamlia timing Mbu hehehe yaani unagundua kumbe MJ1 anamuadvice mkemwenza bila kujielewa. Dah!
heri mie sijasema
 
Here comes The Boss,
mimi natafautiana na wewe kidogo tu, A perfect man sio lazima awe abusive lakini almost all abusive men naturally wana something very worthy kwa women life and behaviour. Yep I said it.

Kloro ukifuatilia sayansi inavyosema utakubaliana na mimi
labda we dont know ingawa tunafikiri tunajua..

mfano why some people are violent????
utakuta one of the reason ni 'too much testosterone'...
na ambayo ukiwa nayo sana unakuwa 'more of a man' kulinganisha na wengine
ambao wako average......sasa umeona hapo ilivyo????
 
Ha ha haaa..

Kuna wanaume wamegundua tricky... Wanakuwa watu wa biti sana na vitisho vya uongo mbele ya wake zao... "Yaani leo konda aliniletea ujinga, nimazaba vibao hadi akaokolewa na trafick..."Yani Boss wangu (bosi wangu) kanipa kazi ya ovyo, nimempaka vibaya mbele za wafanyakazi wote, na kama ni kazi acha anifukuze, mi mwanaume bwana, sitashindwa kuishi"... "unajua namshangaa sana fulani, eti mke wake anachelewa kurudi nyumbani, yeye anamwangalia tu, ingekuwa mimi nakamata hicho kichwa nasokomezea kwenye jiko lenye moto"... n.k. Yani mwanaume akajifanya kuwa yeye ni noma mtaani kwa mkewe, kumba jamaa mwoga ajabu...

huwa inasaidia sometimes...
 
I think not....
A perfect man is one that knows how to deal with his woman.
Hao wanyanyaswaji hua wanarudiwa kwa hofu...kutokujitambua...kutojijali...mazoea!!!

dahhh,...................haya bana.
huu mdahalo unakwenda mbele na kurudi nyuma.
nisikuchoshe Lizzy....but mnh? mazoea ya nini? khaaa?
 
hahahahahahahaha! ....you've really made me laugh aloud, kwa mara nyingine tena! dahhhhhhhhh!!!!
 
The Boss you are revealing the secret now, bora ningekubaliana na wewe tu earlier lol. pitia post zangu mbili tatu zilizopita.
U r right mkuu ila nilikuwa nazimua tu (heheeh usisahau yupo Lizzy hapa najaribu kuimpress lol)
 
lol..........
 
lol
Uskute fujo lote hili kumbe mdada anamlia timing Mbu hehehe yaani unagundua kumbe MJ1 anamuadvice mkemwenza bila kujielewa. Dah!
heri mie sijasema
Nshaona dalili shem maana kuna mitego yangu nimetega naona Mbu kuruka vihunzi. lol mwache tu ajilete, ataondoka mwenyewe bila nauli
 
Nimekumbuka mzee mmoja kijijini kwetu, ilikuwa akirudi usiku kutoka kilabuni, akifika karibu na nyumbani anaanza kuporomosha matusi kwa sauti ya juu... "Mi ntakuua wewe, **%$%** mkubwa,unadhani unaniweza,... nikuue, nakuuliza nikuue"?... Kumbe unakuta jamaa yuko peke yake, lengo lake ni kumfanya mkewe ajue kwamba mume wake ni 'abusive' na anapiga yeyote anamchezea... akifika home anajifanya ana hasira, mke wake anambembeleza... "Mume wangu punguza hasira, baba nanii.., unaja ukiua mtu utafungwa na sisi tutateseka"...
 
lol

Nshaona dalili shem maana kuna mitego yangu nimetega naona Mbu kuruka vihunzi. lol mwache tu ajilete, ataondoka mwenyewe bila nauli
Haya mambo yapo shem! kuna kadada sku moja kalikuja kakajifanya kana matatizo nikashauri hata sidiria hakajavaa khaaa! katkati ya ushauri nikajikuta naimba wimbo wa taifa. Wanaume tunateseka wajameni!
 
Boss testosterone pekee haiwezi kumfanya mtu awe violent...yenyewe ni kama kisindikizaji tu kinachoungana na tabia za mtu binafsi.

dahhh,...................haya bana.
huu mdahalo unakwenda mbele na kurudi nyuma.
nisikuchoshe Lizzy....but mnh? mazoea ya nini? khaaa?

Hahahaha....usijali Mbu.
Naongelea mazoea ya kunyanyaswa...mtu anakua amezoea kiasi kwamba asiponyanyaswa anahisi kukosa kitu na ndio mvutano kati ya kujiepusha na kuendelea na manyanyaso unapotokea.
 
lol!!!!!!!....e bana weee...hhhaaahhaha....sasa ndio kusema huyu mdada ana fall kwenye category hiyo ya
wanaosumbuka kwa 'kelele za mlango' za hao Exes wake?
 
Sio anataka kuonyesha kwamba ni abusive bali anataka kuonyesha kwamba ni DOMINANT. Mtu ambae ni abusive sio lazima awe dominant...na mtu dominant sio lazima awe abusive. Wapo abusers ambao sio dominant..na hawa mostly ni wale ambao nao wamewahi kua abused au hata wanaendelea kua abused na wao wanaabuse wenzao kulipiza kwa mwingine ambae ni mdhaifu zaidi yake.Yani kiujumla na wao ni WADHAIFU ila wanatafuta wadhaifu zaidi yao na kuwaonea.
 
Reactions: Mbu
Sidhani kama hatakuwa mmojawapo wa 99% ya wanawake... (99% ya wanawake would pick a rude boy, if given a chance to select out of a rude and a 'calm' boys)
 
Reactions: Mbu
Boss testosterone pekee haiwezi kumfanya mtu awe violent...yenyewe ni kama kisindikizaji tu kinachoungana na tabia za mtu binafsi.
Lizzy nikuulize suali
umeshawahi kuwa na mahusiano na mwanaume abusive?
feel free kutokujibu suala langu kama liko too personal au unaweza pia ukanijibu through PM kama hapa kina Mbu watakufanya uone aibu
 
Hahahaha....usijali Mbu.
Naongelea mazoea ya kunyanyaswa...mtu anakua amezoea kiasi kwamba asiponyanyaswa anahisi kukosa kitu na ndio mvutano kati ya kujiepusha na kuendelea na manyanyaso unapotokea.

...lol...nimekupata lizzy, so...una maanisha kuna dalili hata huyo watatu atatafutiwa kisa awe provoked kuonyesha kiwango cha testosterones zake...mnh! ...hii sasa ni psychological trauma..
 
Lizzy nikuulize suali
umeshawahi kuwa na mahusiano na mwanaume abusive?
feel free kutokujibu suala langu kama liko too personal au unaweza pia ukanijibu through PM kama hapa kina Mbu watakufanya uone aibu

i bet if the answer is yes....the next question will be
how was he in bed...lol
 
Swadaktaaa... there you come...
 
Haya mambo yapo shem! kuna kadada sku moja kalikuja kakajifanya kana matatizo nikashauri hata sidiria hakajavaa khaaa! katkati ya ushauri nikajikuta naimba wimbo wa taifa. Wanaume tunateseka wajameni!
Hahaha wewe..... mwenzio nshatoa restriction order...marufuku kutoa ushauri bila mie kuwepo lol!! Eti namchunga Mbu na meno yake 32!! khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…