klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Uskute fujo lote hili kumbe mdada anamlia timing Mbu hehehe yaani unagundua kumbe MJ1 anamuadvice mkemwenza bila kujielewa. Dah!Mbu mi nimechoka sasa....
Yaliyosema yote ingependeza kweli dada akayaona na kuyatafakari ila kwasababu huwezi kumprintia thread zime asome embu ipaste kwenye google translator alafu umpe maana ukimtafsiria mwenyewe utamnyima uhondo....hatakiwi kukosa hata nukta!!!
heri mie sijasema