klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Eeee bana eee ndo maana namzimikia Lizzy aisee, unajua hii angle skuiona kabisa. Naungana na Lizzy the probability is there. Kazi kwako negotiator lol...lol...nimekupata lizzy, so...una maanisha kuna dalili hata huyo watatu atatafutiwa kisa awe provoked kuonyesha kiwango cha testosterones zake...mnh! ...hii sasa ni psychological trauma..
Lizzy nikuulize suali
umeshawahi kuwa na mahusiano na mwanaume abusive?
feel free kutokujibu suala langu kama liko too personal au unaweza pia ukanijibu through PM kama hapa kina Mbu watakufanya uone aibu
Bring back my brain loli bet if the answer is yes....the next question will be
how was he in bed...lol
Lizzy nikuulize suali
umeshawahi kuwa na mahusiano na mwanaume abusive?
feel free kutokujibu suala langu kama liko too personal au unaweza pia ukanijibu through PM kama hapa kina Mbu watakufanya uone aibu
i bet if the answer is yes....the next question will be
how was he in bed...lol
I bet the answer is ...'he was incredible'....
(kidude cha 'like' kimeniponyoka)
Mbu am a bit sceptical.........how comes uko so interested na 'kitakachomtokea' mkaka wa tatu ilhali siye alokujakutaka ushauri?? mh...lol...nimekupata lizzy, so...una maanisha kuna dalili hata huyo watatu atatafutiwa kisa awe provoked kuonyesha kiwango cha testosterones zake...mnh! ...hii sasa ni psychological trauma..
How could u conclude it to "unfortunate"? anyway lets drop it, I know where is the best place to discuss it with you.Hahahahahah....we Kloro wewe.Asante sana kwa kuniweka kwenye kitimoto utadhani mimi ndio mtuhumiwa wakati mimi ni shahidi tu.
Nwy I haven't been that unfortunate.
Mhhh no so much kumprovoke ila atatamani ile hali...bila kujua ofcourse.Alafu ikitokea ndo hapo atalia na kulalamika...ikikosekana tena anaimiss!!!It's a vicious circle....lol...nimekupata lizzy, so...una maanisha kuna dalili hata huyo watatu atatafutiwa kisa awe provoked kuonyesha kiwango cha testosterones zake...mnh! ...hii sasa ni psychological trauma..
Hahahaha....you people!!!i bet if the answer is yes....the next question will be
how was he in bed...lol
Haya mambo yapo shem! kuna kadada sku moja kalikuja kakajifanya kana matatizo nikashauri hata sidiria hakajavaa khaaa! katkati ya ushauri nikajikuta naimba wimbo wa taifa. Wanaume tunateseka wajameni!
Hahahaha....you people!!!
Nwy perfomence ya huko nayo hua inachangia mtu kukubali manyanyaso especially kama agressiveness ipo na huko.
Mbu am a bit sceptical.........how comes uko so interested na 'kitakachomtokea' mkaka wa tatu ilhasi siye alokujakutaka ushauri?? mh
Hebu jivue gamba la kuprotect wanaume kwa sababu to me you sound kama vile ushamhukumu mdada wa watu ambaye ndie rafiki yako? au unamfahamu 'zaidi' huyu mdada na kuna kitu ambacho hujakiweka hapa hadharani? lol
!
Swadaktaaa... there you come...
Eeee bana eee ndo maana namzimikia Lizzy aisee, unajua hii angle skuiona kabisa. Naungana na Lizzy the probability is there. Kazi kwako negotiator lol
Hhehehe....sorry to dissapoint y'all but sina gamba la kujivua hapo!!!...classic! nimeipenda hii flow....hahahahaha!
Lizzy nasubiria kukusoma hapa...
Khaaaa yani we lawyer unaona hiyo ishu ni ''fortunate''???How could u conclude it to "unfortunate"? anyway lets drop it, I know where is the best place to discuss it with you.
Mkuu Kloro, hii nilikuwa sijaiona aisee...
Mi nisahshtukia maana kutokana na mazoea ya kuchat kwa msg na wadada ambap siwajui huku kwenye mtando, akiona kama humtongozi anaanza kuomba ushauri 'kuhusu mpenzi wake aliyemuacha, au asimkea, au vyovyote vile ilimradi muanzishe topic za kudiscuss mapenzi... sasa kama huwajui on the way unaweza ingia line ya 'mwanachuo' very easily
Mbu am a bit sceptical.........how comes uko so interested na 'kitakachomtokea' mkaka wa tatu ilhali siye alokujakutaka ushauri?? mh
Hebu jivue gamba la kuprotect wanaume kwa sababu to me you sound kama vile ushamhukumu mdada wa watu ambaye ndie rafiki yako? au unamfahamu 'zaidi' huyu mdada na kuna kitu ambacho hujakiweka hapa hadharani? lol
Kloro shemeji yangu hebu njoo unifundishe namna ya kusoma yale makezi yenu ya 1900s!
Hahahaha....you people!!!
Nwy perfomence ya huko nayo hua inachangia mtu kukubali manyanyaso especially kama agressiveness ipo na huko.
Sawa lakini sie alotaka ushauri! lol hahah haya bana.Dearest kwasababu yeye ndie innocent pekee hapa so far....and a victim to be.
Mbu naomba umsome Lizzy kwa utulivu sana kwenye hii post yake. Ubarikiwe sana Lizzy.
narudia tena . Will u marry me?
It might be in some cases..
Khaaaa yani we lawyer unaona hiyo ishu ni ''fortunate''???
Labda kwa waliozoea bana.....