klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Eeee bana eee ndo maana namzimikia Lizzy aisee, unajua hii angle skuiona kabisa. Naungana na Lizzy the probability is there. Kazi kwako negotiator lol...lol...nimekupata lizzy, so...una maanisha kuna dalili hata huyo watatu atatafutiwa kisa awe provoked kuonyesha kiwango cha testosterones zake...mnh! ...hii sasa ni psychological trauma..