kindimu
Member
- Mar 26, 2014
- 42
- 7
Wanajamvi nimatumaini yangu kuwa ni wazima,Naomba kujuzwa kati ya Bachelor of art in economics, Bachelor of arts in Information Technology na Bachelor of Irrigation and water resource engineering. nina div 2 fom6 katika mchepuo wa pcm,naombeni mwenye uelewa juu ya fania hizo tatu ipi ni nzuli ukilinganisha na soko la ajira .naomba mawazo yanayojenga.