Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Jana nimesoma gazeti nimejifunza juu ya madhara ya pombe,na nimeamua na kufikia uamuz wa kuacha kusoma magazeti"[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie natafuta mlinzi wa 24/7Hahaaaaaaaa...... umenikumbusha jamaa yangu mmoja aliota katumia pesa nyingi sana, kwa kuhofia kuota akitumia pesa jamaa hakulala tena
nitamfikishia habariMwambie natafuta mlinzi wa 24/7
Poanitamfikishia habari
Sawa na yule mwenye Tv flat kubwa ya ukweli, kaota wezi wamemuibia, alivyo amka faster akaiuza kwa bei ya hasara akisema wakose wote maana mwizi akichukua hata pata hata hiyo buku 50 alopata kwa tv ya m1.5
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaJamaaa alilala na demu bila condom kwa vile alilewa, baaada ya shughuli ndio akakumbuka kuwa ipo mfukoni, akamwambia demu turudie na kondom ili tukinge maambukizi kama yapo ya gemu lililopita