Pre GE2025 Maamuzi ya CCM kumteua Dr Samia Kugombea Urais na Dr Nchimbi Mgombea Mwenza kumewavuruga sana Chadema, Walitamani agombee Makamba Jr!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndo maana mkampiga chini Mbowe?
 
Ila kima za CCM zina kujiamini kwa kindezi. Mna hakika huyo Nchimbi atafika 2030?
 
Kumaanisha?!
 
Ccm ndo mnalalamikiana,
CDM imefurahi, battle imepungua nguvu!!
 
Kuandia na kuchanganya na viemoj vya kujichekesha hizi ni dalili za kuchanganyikiwa
 
Naoma unaota, makamba na chadema wapi na wapi 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…