johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila Kona mazungumzo ya Chadema ni kulalamika tu kwanini Mkutano mkuu wa CCM umefanya uteuzi wa kushtukiza wa Mgombea uRais na makamu wake
Nawakumbusha tu Chadema Siasa ni Sayansi 😂😂
2030 anagombea Urais Dr Nchimbi
Imeisha hiyo 🐼
Nawakumbusha tu Chadema Siasa ni Sayansi 😂😂
2030 anagombea Urais Dr Nchimbi
Imeisha hiyo 🐼