Msemaji wa chadema ana sympathise na ccm halafu unategemea ccm ishindwe?Puuzeni maoni ya Wajumbe mkione cha motoView attachment 1528909
Yaani unanipenda sana ccm kufikia hata kuishauri namna nzuri ya kupata ushindi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji wa chadema ana sympathise na ccm halafu unategemea ccm ishindwe?Puuzeni maoni ya Wajumbe mkione cha motoView attachment 1528909
Kuna upinzani mkubwa ndani ya CCM kuliko hata huu wa CCM na ChademaHuko CCM kuna bomu linatokota. Bomu hili linaitwa kwa majina tofauti. Umaarufu wake 'WAJUMBE"
Ni wazi kuwa kuna mchanganyiko wa sababu. Zikiwemo mtifuano wa CCM mpya na kongwe.
Rushwa na nguvu ya pesa.
Vita ya madaraka kuelekea 2025 ndani ya CCM.
Amini kwamba maamuzi ya Kamati kuu kuhusu wajumbe waliopitishwa yataleta madhara mbali mbali na itategemea hoja hizo tatu na vipi chama kama kilipokea taarifa sahihi kutoka chini.
Mkiwaamini TAKUKURU mjuwe wako walionunuliwa na wao vile vile wana mapenzi yao na watu wao kwenye chama.
Malalamiko ni mengi na mchanganyiko.
Kuna hatari Kamati kuu ikawa na wajumbe ambao wote wakawa na mlengo mmoja wa ama kuwa wanaunga mkono WANA CCM MPYA, ama wanaojipanga kuweka safu mpya ya madaraka baada ya utawala wa sasa na hivyo kwa namna moja ama nyengine kuathiri mchakato na kuacha uhalisia huko majimboni.
Kauli za Mwenezi Polepole sio kwamba zinaashiria kukoleza joto la kufyatuka kwa fyuzi lakini ziaashiria vile vile kuifanya fyuzi ikomae zaidi.
Huko majimboni kuna habari nyingi na kutegemea taarifa za TAKUKURU PEKEE na wale vijana wea Usalama wa chama bila kuwa na njia nyengine si rahisi UKWELI kujulikana kutokana na mazingira ya sasa.
Hapa tunataka kupima umakini wa viongozi wa CCM. Kilicho wazi kweli rushwa imetumika sana mara hii LAKINI na Fitna ya CCM mpya na Kongwe ndiyo sababu kuu. Kunahitajika maamuzi sahihi na kuwepo taarifa sahihi.
Wako watu wanaomuunga Mkono Mwenyekiti na wameshika nafasi nyeti serikalini lakini kwenye mchakato walitoa rushwa ya wazi na hao hao ndio CCM mpya. Je, jicho la haki litasimamia ukweli?
Tunasubiri muda uhukumu.
Tunawatakia maamuzi mema.
"Kweli wajumbe sio watu"
Kishada
Hofu ya nini? ukionacho wewe ndio mwisho wako subra subraNdio tukaandika hapa ili wahusika watende haki. Hofu yangu isije ikawa taarifa walizopelekewa ikawa zilifika kwa misingi ile ile ya hizi hoja tatu hapo juu.
ipo hivi CCM wote walitoa Rushwa hakuna CCM hakutoa Rushwa na kama Rushwa ni kigezo chao kikuu wakipaswa kufuta mchakato wote warudie upya kabsa, mfumo huu wa CCM umezalisha fursa kwa baadhi ya Takukuru kununuliwa kutengeneza report za kuwahujumu wengine ambao hawana pesa za kuwanunua Takukuru kuzuia report za uonevu, mfumo huu umeruhusu Majungu fitna za kutengeneza kushika kasi, Kamati kuu siyo mungu siyo malaika wana mapungufu yao na wana ndugu zao marafiki zao lazima watachemsha sana kwenye hilo na chadema AcT wamewategea ili wapate CCM wenye hasira za kuonewa wapate kuwasaidia kwenye kampeni.Huko CCM kuna bomu linatokota. Bomu hili linaitwa kwa majina tofauti. Umaarufu wake 'WAJUMBE"
Ni wazi kuwa kuna mchanganyiko wa sababu. Zikiwemo mtifuano wa CCM mpya na kongwe.
Rushwa na nguvu ya pesa.
Vita ya madaraka kuelekea 2025 ndani ya CCM.
Amini kwamba maamuzi ya Kamati kuu kuhusu wajumbe waliopitishwa yataleta madhara mbali mbali na itategemea hoja hizo tatu na vipi chama kama kilipokea taarifa sahihi kutoka chini.
Mkiwaamini TAKUKURU mjuwe wako walionunuliwa na wao vile vile wana mapenzi yao na watu wao kwenye chama.
Malalamiko ni mengi na mchanganyiko.
Kuna hatari Kamati kuu ikawa na wajumbe ambao wote wakawa na mlengo mmoja wa ama kuwa wanaunga mkono WANA CCM MPYA, ama wanaojipanga kuweka safu mpya ya madaraka baada ya utawala wa sasa na hivyo kwa namna moja ama nyengine kuathiri mchakato na kuacha uhalisia huko majimboni.
Kauli za Mwenezi Polepole sio kwamba zinaashiria kukoleza joto la kufyatuka kwa fyuzi lakini ziaashiria vile vile kuifanya fyuzi ikomae zaidi.
Huko majimboni kuna habari nyingi na kutegemea taarifa za TAKUKURU PEKEE na wale vijana wea Usalama wa chama bila kuwa na njia nyengine si rahisi UKWELI kujulikana kutokana na mazingira ya sasa.
Hapa tunataka kupima umakini wa viongozi wa CCM. Kilicho wazi kweli rushwa imetumika sana mara hii LAKINI na Fitna ya CCM mpya na Kongwe ndiyo sababu kuu. Kunahitajika maamuzi sahihi na kuwepo taarifa sahihi.
Wako watu wanaomuunga Mkono Mwenyekiti na wameshika nafasi nyeti serikalini lakini kwenye mchakato walitoa rushwa ya wazi na hao hao ndio CCM mpya. Je, jicho la haki litasimamia ukweli?
Tunasubiri muda uhukumu.
Tunawatakia maamuzi mema.
"Kweli wajumbe sio watu"
Kishada
Chadema wanajua CCM watavurunda huko hasa kwenye kumfurahisha Mwakyembe Bashite ngeleja Angela kairuki na wengineo marafiki wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa, chadema wanasubiria kwa hamu kubwa CCM ichemshe kupitia mfumo huo uliopitwa na wakatiKuna upinzani mkubwa ndani ya CCM kuliko hata huu wa CCM na Chadema
Mfano kule misungwi mnyeti katoa Rushwa na Kitwanga katoa Rushwa hakuna ambaye hakutoa Rushwa CCM wote wametoa Rushwa hapo ndipo utaona maajabu ya DuniaUkiyajua yaliyoko field huko majimboni, unasisimka. Kuna wakubwa huwezi amini imekuwa kama icon ya chama lakini amepita kwa mizengwe. Amini nakwambia baadhi ya majimbo kashfa zinarudi hadi kwa wagombea wa kitaifa. Jee najiuliza haki itatendeka?
Mapungufu ya kamati kuu ya CCM kwenye kuchuja majina Dodoma yameonekana kwa kila Mtanzania hata wasio vyama wala ushabiki wowote wanalijua hilo vizuriMsemaji wa chadema ana sympathise na ccm halafu unategemea ccm ishindwe?
Yaani unanipenda sana ccm kufikia hata kuishauri namna nzuri ya kupata ushindi!
Mimi nilishtuka jana Mwenyekiti kuanza kumpigia kampeni Ndugai, Hivi katika hali ile hata kama kuna ripoti ya kukiukwa kwa taratibu kweli Ndugai ataweza kushughulikiwa? wakati mwengine tuweke hakiba ya maneno rohoni, si kila kitu kinapaswa klusemwa hadharani.ipo hivi CCM wote walitoa Rushwa hakuna CCM hakutoa Rushwa na kama Rushwa ni kigezo chao kikuu wakipaswa kufuta mchakato wote warudie upya kabsa, mfumo huu wa CCM umezalisha fursa kwa baadhi ya Takukuru kununuliwa kutengeneza report za kuwahujumu wengine ambao hawana pesa za kuwanunua Takukuru kuzuia report za uonevu, mfumo huu umeruhusu Majungu fitna za kutengeneza kushika kasi, Kamati kuu siyo mungu siyo malaika wana mapungufu yao na wana ndugu zao marafiki zao lazima watachemsha sana kwenye hilo na chadema AcT wamewategea ili wapate CCM wenye hasira za kuonewa wapate kuwasaidia kwenye kampeni.
Hiyo gut haipo, ni shida. Timu ya Kishada inakusanya taarifa tutakuja kuzitolea ufafanuzi baadae. Tunasubiri haki itendeke kwanza.ipo hivi CCM wote walitoa Rushwa hakuna CCM hakutoa Rushwa na kama Rushwa ni kigezo chao kikuu wakipaswa kufuta mchakato wote warudie upya kabsa, mfumo huu wa CCM umezalisha fursa kwa baadhi ya Takukuru kununuliwa kutengeneza report za kuwahujumu wengine ambao hawana pesa za kuwanunua Takukuru kuzuia report za uonevu, mfumo huu umeruhusu Majungu fitna za kutengeneza kushika kasi, Kamati kuu siyo mungu siyo malaika wana mapungufu yao na wana ndugu zao marafiki zao lazima watachemsha sana kwenye hilo na chadema AcT wamewategea ili wapate CCM wenye hasira za kuonewa wapate kuwasaidia kwenye kampeni.
Kitu kichafu na kinukacho hakiwezi kupita mbele yako usihoji.Mambo ya ccm mwaka huu yapo interesting mpaka wapinzani mnafuatilia kweli mwaka huu magafuli anapita bila shida.
Hajasema hayo ili mshinde, Bali chama chenu kisife ili kuwa na chama pinzani chenye nguvu ya kuisimamia vyema serikali yaani CCM.Msemaji wa chadema ana sympathise na ccm halafu unategemea ccm ishindwe?
Yaani unanipenda sana ccm kufikia hata kuishauri namna nzuri ya kupata ushindi!