Maamuzi ya Mo siku za karibuni yanaonyesha hana utulivu wa nafsi!



Wachunguzi wanadai kwamba MO bado ametekwa , yuko chini ya ulinzi muda wote anaoonekana mitaani .
 

Mwaka jana mahesabu walikosea alichukua mkopo wa $300M kutoka bank south africa wakaweka kama mali yake badala ya deni na ndiyo maana tunaona mwaka huu kashuka $300M sio kwasababu ya hongo
 
Bashite kuwa mshauri mkuu wa Simba naona hicho cheo kimetolewa kiuoga ouga, hofu, au kataka kujipendekeza tu; sioni sifa za Bashite kuwa mshauri mkuu wa klabu, sioni kabisa, MO anajaribu kulazimisha urafiki kati yao. Nothing else.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hukumbuki ahadi ya matajiri kuishi kama mashetani? Ukiona hivyo basi ujue ilani imetekelezwa kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mengi siku za mwisho za uhai wake alikuwa ana-post (kama ni yeye binafsi) au anasaidiwa ku-post vitu vya hovyo hovyo tu kwenye account yake ya twitter/facebook. Wafanyabiashara wametiwa stress sana awamu hii. Nadhani inabidi uchunguzi ufanyike isije kuwa wanalazimishwa baadhi ya vitu yaani wamekuwa blackmailed.
 
Bashite anaonekana kuwa karibu na kila tajiri!
Walioko mbali naye wanazama.
Na yeye amekuwa tajiri bila biashara yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…