Maamuzi ya Mo siku za karibuni yanaonyesha hana utulivu wa nafsi!

Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo nakuendelea na biashara zake.

But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder.
Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.

Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!

Sasa tusaidiane kuunganisha dots...
1.Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.

2.Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.

3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.

4.Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na Chama.

5.Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu,mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama mshauri mkuu wa club.

Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg

Wachunguzi wanadai kwamba MO bado ametekwa , yuko chini ya ulinzi muda wote anaoonekana mitaani .
 
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo nakuendelea na biashara zake.

But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder.
Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.

Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!

Sasa tusaidiane kuunganisha dots...
1.Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.

2.Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.

3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.

4.Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na Chama.

5.Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu,mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama mshauri mkuu wa club.

Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka jana mahesabu walikosea alichukua mkopo wa $300M kutoka bank south africa wakaweka kama mali yake badala ya deni na ndiyo maana tunaona mwaka huu kashuka $300M sio kwasababu ya hongo
 
Bashite kuwa mshauri mkuu wa Simba naona hicho cheo kimetolewa kiuoga ouga, hofu, au kataka kujipendekeza tu; sioni sifa za Bashite kuwa mshauri mkuu wa klabu, sioni kabisa, MO anajaribu kulazimisha urafiki kati yao. Nothing else.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake.

But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder. Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.

Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!

Sasa tusaidiane kuunganisha dots.

1. Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.

2. Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.

3. Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.

4. Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na Chama.

5. Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu, mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama Mshauri Mkuu wa club.

Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?

Sielewi elewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hukumbuki ahadi ya matajiri kuishi kama mashetani? Ukiona hivyo basi ujue ilani imetekelezwa kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mengi siku za mwisho za uhai wake alikuwa ana-post (kama ni yeye binafsi) au anasaidiwa ku-post vitu vya hovyo hovyo tu kwenye account yake ya twitter/facebook. Wafanyabiashara wametiwa stress sana awamu hii. Nadhani inabidi uchunguzi ufanyike isije kuwa wanalazimishwa baadhi ya vitu yaani wamekuwa blackmailed.
 
Bashite anaonekana kuwa karibu na kila tajiri!
Walioko mbali naye wanazama.
Na yeye amekuwa tajiri bila biashara yoyote!

Back
Top Bottom