Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu shida yake ni kuitoa nishai Simba tu hana lolote. Mtu ambaye ameweza kulikana andiko lake mwenyewe lililompatia PhD siyo wa kimtilia maanani.Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.