Maamuzi ya mwakyembe yanaangalia simba na yanga

Maamuzi ya mwakyembe yanaangalia simba na yanga

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
 
Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
Huyu shida yake ni kuitoa nishai Simba tu hana lolote. Mtu ambaye ameweza kulikana andiko lake mwenyewe lililompatia PhD siyo wa kimtilia maanani.
 
Yule anaetumika pamoja nae kuivuruga simba leo kazuiwa na jeshi letu la polisi kwenye press yake na waandishi wa habari.
 
Sehemu yotote ambapo nguvu za giza ndio zinaperfome watu hufanya mambo kwa kufuata mapepo yanataka nini!!!!! Nasikia kati ya waganga wale 900, hamsini wapo kwenye shirikisho la soka la miguu😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom